Jamani wadau naomba shauri wenu wengine mpaka ss hv ha2ja pangiwa chuo chochote nmesha panic lnakuwaje hl swala? Naomba msaada wenu ingawa mwaka jana nliomba lakn sikuenda Chuo kwa ukata wa fedha nimeomba tena mwaka huu.
Kijana kama ww unackitisha sanaa bado unang'ang'ania chama tawala kwa kumuhukumu lowasa kwa kumnadi nifisadi kwa Richmond wakati ameshatoa ushaidi Kama yeye anahusika na huo ufisadi waende mahakamani mbona hamkujitokeza,ufisadi bado uko ccm unawajuwa tafuta namna nyengine ya kuongea na sio hlo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.