Recent content by kidae

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mm inaniuma sana sababu Valencia na Sheffield wameninyima pesa ndefu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wapi alipo Nape Nnauye

    Habari wanajamii. Naomba kufahamu mahali alipo mgombea ubunge wa jimbo la mtama huko Lindi kwa tiketi ya CCM?? Maana ni muda sasa yapata kama wiki ya tatu sijamsikia harakati zake kwenye kampeni. Kwa mnaofahamu alipo naomba mtujuze. Asanteni
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta king'amuzi cha Azam (used)

    December 14
  4. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta king'amuzi cha Azam (used)

    Ni laki na ishirini. Nimekinunua December 15
  5. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta king'amuzi cha Azam (used)

    Mm ninatafuta mtu mwenye king'amuzi cha azam ili tubadilishane na cha dstv au kama Luna anayetaka kununua cha dstv nauza kwa shilingi elf 90 ya kitanzania. Namba yangu 0658283200
Back
Top Bottom