Recent content by Kicmbo

  1. K

    Nani m/kiti bora wa chama cha siasa Tanzania

    Hakuna kama Mbowe wengine wenyeviti wa SENDOFF
  2. K

    CCM almanusura wachome Nyumba ya masista Kalenga

    Ccm wameishiwa sera kila kona kazi yao kubwa nikutengeneza wasaliti ni ukweli usiopingika kwamba mwaka wa mwisho wa ccm kuwa madarakani ni november 2015 baada ya hapo ni peopoooooozm...
  3. K

    Dk Slaa azindua kampeni Kalenga

    Mnaingilia mambo ya binafsi(mapenzi)ni mahanisi toa hoja
  4. K

    Mpasuko CCM: Watofautiana juu ya Serikali mbili

    kwani Warioba na tume nzima ni Chadema?hoja ya kuwa serikali tatu ni mpango wa Chadema inatoka wapi tumia akili kufikiri makalio ya kukalia na....
  5. K

    Polisi wazuia msafara wa mgombea ubunge wa CHADEMA

    Wewe unafikiria kwa kutumia makalio unakwepa mada unaongea utumbo ccm imekujaje hapa?
  6. K

    Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    Tunawaamini makamanda mkikamata wezi kichapo kabla ya kuwapeleka polisi maana polisi walewale
  7. K

    CCM, Polisi, Magazeti na Redio lao moja

    Acha utaahira wewe hivyo vi 7000 vinawapa kiburi watu tunapigwa na mapoliccm unaropoka 2mechoka na tutajihami wenyewe
  8. K

    Wabunge wa CHADEMA hawajawahi kushiriki kikao chochote kilicho idhinisha 160m kwao

    Ngoja tuchukue nchi utashangaa na roho yako Kila mzalendo wa kweli anahaki ya kutolea ufafanuzi juu ya hatima ya watanzania so kuona watu wengi wakiisemea chadema usione donge ni wajibu wao wee wasemee hao wezi
  9. K

    Mikakati kabambe ya Kinana yaanza kulitikisa Jiji la Mbeya

    Mnatapatapa tu magamba kwani kwa sasa nyie ndo chama cha upinzani kwan yanayosemwa na CHADEMA ndiyo yanayotekelezwa ya kweni(ya mizigo)yanatupwa kule
  10. K

    Dr. Slaa: Tunahitaji mwaka mmoja tu kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya viwanda

    Ni utashi tu hakuna kisichowezekana kama hamuamini achieni nchi mshuhudie nyie WEZI
  11. K

    Nimerudi toka Operesheni Pamoja Daima, sioni muujiza wa kuiokoa CCM!

    Watoke tu mapema hata kabla ya 2015 wametuibia sana hawa wezi 40 yao imeshafika
  12. K

    Wanademokrasia popote mlipo tembeeni vifua mbele, wahafidhina wameanza sisi tutamaliza kabisa

    Is lazima kuwa cdm is nlisoikia mnaanzisha chama chenu kianzishenu tuone huku sio kung'ang'ani cdm kaa kupe, hatuwataki NYIE ni NUKSI kwetu
  13. K

    Makonda: Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania wala Mwenyekiti wa CCM

    Hamieni CHADEMA mtakufa na pressure kwetu huku Bata TU
  14. K

    CCM beki hazikabi

    Kuitetea ccm mpaka unywe viroba kwa akili ya kawaida huwezi chama kishaoza
  15. K

    Hoja za CHADEMA M4C- Operesheni Pamoja Daima zijibiwe kwa hoja, si viroja. Watz si wajinga

    Chadema yatosha mIzigo tupisheni kama CCM hamuamini subirini salam kwaza uchaguzi serikali za mitaa maana aibu.mtakayopata hamtoamini SISI ni vitendo tu
Back
Top Bottom