Huyu TOPICAL ni mgonjwa wa akili. Tazama wanaochangia humu, hesabu wanaomuona wa maana, tafakari kauli zake, utagundua kwamba Topical hana uwezo wa kugundua kuwa ametoboka ubongo, unavuja vumbi ... anendelea tu kuandika upupu wake.
Tazama kwa mfano, anadhani mafisadi hawa ni wakatoliki...