Recent content by KICHWA BOX

  1. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya sato waliokaangwa kutoka Mwanza to Dodoma

    Habari wakuu wa hili jukwaa, Nina capital ya laki tano mbali na usafiri (Mwanza-Dodoma) malazi na and dharura nahitaji kufanya biashara ya sato waliokaangwa kutoa mwanza kupeleka Dodoma sina mtaji mkubwa wa kuhandle cost za freezer na frame ndiyo maana nafikiria kuuza hao Sato waliokwisha...
  2. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kiongozi wangu kwa Singida hapana asee
  3. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Rombo Dc nije Lushoto Dc
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mnamkumbuka Coolio? Ashakua mtu mzima sasa, lakini sijui hizi nywele vipi!

    Mzee wa See you when u get there na gangster paradise dah
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kioo cha sony xperia m

    Shukrani brother kwa ufafanuzi wako
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kioo cha sony xperia m

    Ni kioo ndugu yangu mana kina cracks,upande wa touch inapga kazi tu fresh
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kioo cha sony xperia m

    Habari wakuu wa hili jukwaa,nahitaji Front Glass ya Sony Xperia M, NAWASILISHA.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mohammed Matumla vs Wang Xing Hua ni hatari tupu leo Diamond Jubilee

    Naskia yule mmarekani alokuwa apigane na Ashraf kaingia mitini wamemleta mkenya
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hii style inaitwa beleave it or not

    Ha ha haaa katumbua mimacho ka kapigwa ngumi ya mgongo
  10. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya duka la Cosmetics

    Asante kwa kunipa tahadhari na nakuahidi kuanzia kesho ntafanyia kazi ulichoniambia na nikikwama somewhere ntakutafuta kwa ushauri zaidi brother,Ubarikiwe sana.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya duka la Cosmetics

    Nashuru kiongozi wangu thou bado cjafanya mlinganisho wa bei ila naskia UG vitu vipo chini all in all ntaufanyia kazi ushauri wako ili kujiridhisha kwanza,THANKS AGAIN
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya duka la Cosmetics

    Thanks for your encouragement
  13. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya duka la Cosmetics

    Wakuu naombeni msaada wenu please
  14. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya duka la Cosmetics

    Wakuu poleni na majukumu. Naomba ushauri juu ya hii biashara ya vipodozi kwa mtaji wa 1milion nna frame tayari,kwa huo mtaji unatosha kuendeshea iyo biashara.Nnipo geita na nafikiria bidhaa kuifata Uganda kwa wana Jamii forums walioenda Uganda vipi upatikanaji wa vipodozi na bei yake...
Back
Top Bottom