Recent content by kichungwaa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Watoto ni baraka yahitaji subira kina baba

    Kina Nani?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Watoto ni baraka yahitaji subira kina baba

    Habari zenu wakuu, Kina baba tunajua mnapenda sana watoto sio kama kipindi cha nyuma lakini yahitaji uvumilivu na subira pia imekuwa ukiona miezi tu hakuna dalili mnaanza visa na maneno ya kejeli na dharau ndani ya nyumba. Nimeshindwa namshauri vipi rafiki yangu wanajamvi mnisaidie ana...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Napenda kukaa peke yangu lakini nina mke

    Aiseee
  4. K

    JamiiForums Tanzania Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Hapo tu ndio uwa nachoka akili na akihamia ulevi mwingne magonjwa ndani bora anywe tu iyo bia basi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke kaniroga nikienda nje haisimami, ndani inasimama

    Naomba namba ya mkeo plz anipe iyo dawa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya wanaume mkigombana utasikia mlango upo wazi

    Yani maneno yanauma san jaman bora upigwe tu mie sipendi kbs mwanaume mwenye mdomo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya wanaume mkigombana utasikia mlango upo wazi

    Aisee mkuu wew ndo unauona ngumu wenzio ni kauli ya kawaida tena kwa mke kbs
  8. K

    JamiiForums Tanzania Si busara kuchunguza inbox ya mpenzi wako

    Mie sikuwa na mda wa kushika simu yake hata kidogo lakin yako itachunguzwa mpk calls za cku nzma umeongea na nani sas mtu kama uyu kwa na wew usishike yake uyaone mazur yake
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya wanaume mkigombana utasikia mlango upo wazi

    Habari zenu wakuu, Hii kauli ya mlango upo wazi, Kwa nini wanaume mnaipenda sana mie kwa upande wangu uwa naichukulia kama unyanyasaji. Unakuta mmegombana kidogo ambacho ni kitu cha kawaida katika mapenzi, unaambiwa mlango upo wazi ukiona umechoka unaweza kwenda. Dah, swali langu hivi mtu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kanibwagia mtoto mlangoni, sasa ndoa yangu imeshikiliwa na kamba nyepesi mno

    Hasira zote mkuu atazihamishia kwa mtoto wanawak wana kinyongo sna mtot ataish maisha magum sn
  11. K

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazotupa maumivu baada ya kutendwa

    Kweli kabisa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ulikabiliana vipi na maumivu ya kusalitiwa?

    Pole wew unaendika bila kujua lolote unakurupuka tu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Mkuu kuzibuliwa mirija kuna madhara? Njia gani sahihi ya kuzibua mirija au kuna dawa mkuu nisaidie Nahitaji mtot kwa sas tatzo ni mirija kuziba
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ulikabiliana vipi na maumivu ya kusalitiwa?

    Mapenz yana uma san jamn mie nilisalitiwa mara tatu ten alikuwa anawachkua rfk zangu tu yan nilikuwa nasamehe uku siamin km nmesamehe lkn nilisahau na maisha yanaendelea nililia san mpk akabadlika tupo mpk sas mwka wa 4 lkn sitaki tena mashoga ni bora usalitiwe na mtu wa mbali wa karbu inauma...
Back
Top Bottom