Recent content by kichiwa

  1. K

    nifundishe niendapo tofauti

    ni mgeni ktk ukurasa huu yapata wiki moja sasa,najua vichache mengi nategemea kutoka kwa wadau wakongwe msisite kunambia pale ninapokwenda kinyume,nitawapa ushirikiano kamili
  2. K

    Cheki hii picha Unamkumbuka Mwalimu nani.., na ulipokuwa wapi...,

    nilikuwa shule ya msingi kichiwa mwlim wa hisabati ndo alikuwa analeta fimbo nyingi kiasi hicho cmtaji kwa jina japo ye na jua hajajiunga na mindao ya kijamii.
  3. K

    Usicheke

    sio ajabu sana inategemea na malengo ya mtu hivo hakuna kinachekesha ktk hilo,labda kulikuwa na lazaidi ktk mazungumzo yenu.
  4. K

    Mjini mipango: Tambua namna ya kuishi kwa kupanga bajeti ya hicho kidogo ulichonacho

    umenivutia sana nimependa sana nimefurahi sana umenikosha sana yaan we acha tu,nakula matembele kila siku kisa bajeti ninampango wa kukamilisha jengo langu so bajeti yangu imekuwa chungu sana,amini tutakutana kwenye matumizi wakati mwingine.
  5. K

    Diamond amefukia kondoo w atatü kumloga mwanangu wema warudiane

    sisemi sijaipenda wala cjaichukia yawawili watatu ni umbea acheni kuchangia mada za mahusiano ya watu unaweza kusutwa.
  6. K

    Nikikutana na mzazi wa mke wangu wangu nanyong'onyea

    ndugu cha msingi na cha maana ni kurudisha huyo mtoto ambaye ndo imekuwa kero vinginevyo utajikuta ndoa inakuwa matatani bila sababu wema utakuponza,wengi tunaangamia kwa sababu ya huruma na wema.
  7. K

    Obama:'Bhangi ni afadhali kuliko Pombe kiafya'

    bangi bora namuunga mkono obama,maana ktk maisha yangu yote nimetumia bangi tu ila sio kilevi kingine chochote.
  8. K

    Watu 10 wafariki dunia papo hapo huku wengine 28 wakiwa katika hali mbaya ni baada ya basi kupata aj

    polen ndugu zetu wamakonde twajua ni simanzi kubwa kwa mtwara na lindi.
  9. K

    wapi tunakwenda hii ni hatri!

    mi ni mwanafunzi chuo kimoja hapa nchini nachukua shahada ya ualimu,maisha yangu yanchangamoto kidogo,kwanza nasoma ualimu ambao mi binafsi sipendi na sina wito kabisa ila sababu inayonifanya nisome ualimu ni umaskini sasa napata ugum ni vipi nitawasaidia watoto kipindi nikipata ajira maana...
  10. K

    Ambitions za watoto wa Tanzania ya leo!

    hakika ndo hali halisi mtoto wa leo siosawa na wazamani,hadi walimu wa waleo wanaitwa walimu wa google vilevile wanafunzi wa google,je tutafikia malengo na mipango mizuri aliyotuachia mwalim?
  11. K

    Wajue Hell's Wngels: Watu wa boda boda tusipowaangalia tutegemee makubwa Tanzania

    do umenitisha sana na kundi la hell angel,bila shaka na hapa bongo wapo maana madeleva bodaboda baadhi yao hawasomeki hata kidogo.
  12. K

    Kada wa CHADEMA ndg. Vitalis ajeruhiwa huko arusha

    wanamatata na hatari sana ccm bila ubabe madaraka hawana,tukonyuma ya pazia chadema tunakuja mkiua mmoja kumi wanaongezeka mkijeruhi watano wanaongezeka kazi kwenu rangi ya kijani ulimwengu sio wenu,pigeni saruti mikono juu...............
  13. K

    Wema sepetu anahusika kwenye utapeli wa mikopo

    ni utapeli wa watu sio na uzalendo na wenzao,ila mambo mengine inakuwa uzembe kwanini utume kwa njia ya simu hapo lazima uhakikishe umefika ofisini kwao uone kama kweli au la,tusikubali maelezo ya simu.
  14. K

    Muziki wa Injili Tanzania Wafunika Muziki wa Bongo Fleva Katika Soko.

    sio ajabu mungu mkubwa kuliko ulimwengu lazima utukufu wake uonekane
  15. K

    Karatu: Watu sita wafariki Dunia baada ya kuangukiwa na machimbo ya Kokoto (Moram)

    polen ndugu zetu kwa kufiwa na watanzania wenzetu.
Back
Top Bottom