Recent content by kichechee

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    🤣🤣🤣🤣
  2. K

    🤣🤣🤣
  3. K

    hatari, bila penati hali ilikuwa mbaya
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    🤣🤣🤣🤣🤣
  5. K

    ahhhhhhh, Mungu na matusi pamoja🤣🤣🤣
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii game No GG itanilipa kaka
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nashukuru, nimepima block ipo vizuri, fundi amerudishia vifaa vilivyoharibika (shaft na piston na mkono wake);sasa ipo vizuri kabisa,nashukuru kwa ushauri kiongozi
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nashukuru ,nitafanya hivyo
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Engine 2az ya Vanguard imekaanga na kuharibu Shaft, pistoni moja na mkono wake, fundi ananishauri ninunue hivyo vifaa kisha turudishie itakuwa vizuri, najua humu wengi wanauzoefu naombeni ushauri wenu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Mkuu kichuguu nimeku pm nasubiri msaada wako
  11. K

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Kichuguu ubarikiwe, tatizo la gari yangu limekuwa solved
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mkuu nashukuru,leo nimerudia tena na diagnosis tool, ikaonyesha tatizo lipo kwenye Linear Solenoid, wakapima fuse relay ya sample ya gearbox ikaonyesha inatatizo, nimenunua nyingine na kureplace taa imekata na imekuwa sawa,nashukuru sana kwa ushauri wako mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ahsante Sent using Jamii Forums mobile app
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wadau naomba msaada, nina gari aina ya Toyota Vanguard 2008, ilichemsha, nikaipeleka kwa fundi Engine akagundua Gasket ilikuwa imeisha (inachanganya maji na Oil), akabadilisha, baada ya kurudishia vifaa vyote na kuiwasha Dashboard ikawasha taa ya Check engine na 4WD, akanishauri niende nikafute...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naombeni ushauri kwa huu mkeka Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom