Recent content by kiche

  1. K

    Hili La Kupiga Kura Ulipojiandikishia ....

    Naamini madhara ya kupiga kura nje ya ulipojiandikisha ni makubwa sana!si ajabu ukakuta kura za urais nchi nzima zikawa mara 2 ya za ubunge nchi nzima!na majibu ni rahisi tu,kura za urais zinapigwa popote hivyo hizo zilizozidi ni za watu waliokuwa nje ya walipojiandikisha,hapa wizi wa kura ni...
  2. K

    Jiji la Dar es Salaam lasimama, foleni kila sehemu!

    Ndugu yangu unapotoka uwezi kujua kitakachotokea!na hata hizo daladala zimenasa kwenye foleni pia,flyover ni muhimu kwa baadhi ya maeneo,trafik wanahenya mpaka unawaonea huruma!
  3. K

    Jiji la Dar es Salaam lasimama, foleni kila sehemu!

    Leo foleni ni balaa!!asiye na sababu ya msingi ya kutoka asijichanganye bagamoyo road kupitia mwenge!ni balaa,ubungo napo si salama,nimetoka tegeta saa 8 muda huu ndiyo nafika morocco!
  4. K

    Wizi wa Fastjet, TCAA mpo kweli?

    Ndugu yangu usibishe kama haujui kitu,hao fastjet ni watu wa ajabu sana!watu wanashindwa kucheck in wakiwa kwenye msitari. Tatizo hapa hiyo system yao inajifunga automatic na ipo Nairobi,na wanakuambia kuwa hawana uwezo nayo,kibaya zaidi watumishi wake nao hawana nidhamu ya kazi hata...
  5. K

    Kwanini Hamad Rashid na Julius Mtatiro hawakupewa nafasi za kugombea uongozi wa juu CUF?

    Haya mambo ya vyama ni kuyaacha kama yalivyo!!hata hao ccm sijui wanachaguanaje!!?kikwete aligombea na nani?kinana aligombea na nani?viongozi wote wanaingia kimiujiza!!huko chadema uchaguzi haueleweki unafanyika lini!!utafikiri hakuna katiba,bora hao cuf waliofanya kwa kuminya katiba kuliko...
  6. K

    Nape Nnauye awabwaga CHADEMA Mahakamani

    Tatizo hili jukwaa limeshakuwa la utani!!!
  7. K

    Abdallah Bulembo: James Mbatia hana shukrani

    Miongoni mwa watu wapumbavu huyu bwana ni miongoni mwao!!mara nyingi kauli zake uwa ni za ajabu!! Uteuzi wa Mbatia ni kwa mujibu wa katiba,na katiba haijaweka masharti ya anayeteuliwa kuwa mbunge,hapa tatizo la Mbatia ni nini!!?tatizo kuna watu wanafikiri kuwa kuwa mwanasiasa ni lazima utetee...
  8. K

    Wabunge hawa wa CCM wameitia aibu Tanzania

    Hizi ndiyo akili za kupewa,mtu na akili yake timamu anafanya maamuzi na baada ya muda mfupi anageuka!!!haya yatakuwa ni maelekezo kama kwenye bunge la katiba!!au Tanzania tunataka kujitoa ili tujionyeshe hatuna tatizo na rwanda??Taifa hili linaangamia kwa unafiki. Imefikia hatua upumbavu wetu...
  9. K

    Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

    Uspika ni tofauti na urais,naamini kamwe hawawezi kufanya hivyo,labda tu wanataka kutuletea Joys Banda mwingine,kumbuka kuns makabila ambayo hayakubali kutawaliwa na mwanamke,mfano wakurya na wamasai ni makabila yasiyoamini kwa wanawake,na hapa si kuweka mwanawake tu!hata ccm wakileta mzanzibar...
  10. K

    Warioba ataka wazee waondoke madarakani

    Mhe sina sababu hata kidogo ya kuaminisha watu,typing error gani inaendana na muda wa masomo!!!?au maelezo binafsi hata wakati anagombea urais yalikuwa typing error!?na kingunge alifikisha miaka 82 may 30 2014,naye hana miaka 86!!na hii miaka aliitamka mwenyewe mwezi april 2014.
  11. K

    Warioba ataka wazee waondoke madarakani

    Mhe mbona Slaa amezaliwa 29/10/1948,miaka 82 inatoka wapi?au kumbukumbu za bunge hazikuwa sahihi!!!?
  12. K

    Serikali ipunguze gharama za bunge kwa kufuta viti maalum

    Mhe hata hao wa kuchaguliwa bado ni wengi sana,majimbo yamekuwa mengi na hayana msaada wowote kwa wananchi,binafsi sioni kazi ya mbunge,budget zinazoletwa hata ziwe na mapungufu kiasi gani zinapita kama zilivyo!!utashangaa waziri anadanganya kwenye budget misimu iliyopita na anasimama anaendelea...
  13. K

    Mbowe: Alichowasilisha Wenje ni Msimamo wa Kambi ya Upinzani

    Nadhani kuna tatizo sehemu fulani katika utendaji wa nchi kwa sera za mambo ya nje,uwezi kuingilia ugomvi wa kila sehemu kama si kutafuta sifa za kipumbavu!!congo ilikuwa inatuhusuje!!?kama watu wanakufa ni sehemu nyingi,hapo nigeria ndani ya mwezi watu zaidi ya 400 wameuwawa,misri moto,somalia...
  14. K

    Ndugai: CAG anaingilia mambo yasiyomhusu

    Tatizo hili la ubinafsi ndiyo linakwamisha hata katiba!!hata mgogoro wa serikali 2 ukipita huko mbele ni matatizo!!watu wanaangalia maslahi yao!!wabunge wengi wamekuwa hovyo ajabu!! Mfano naomba tukumbuke kuna wabunge zaidi ya 100 wa viti maalum,hao rasimu haiwatambui,kuna wabunge zaidi ya 50...
  15. K

    Mbona TBC hawaonyeshi mikutano ya UKAWA?

    Inawezekana kwao si habari!!kila mtu ana vigezo vya kutafasiri jambo,kwa upande wao vigezo havijatimia!!
Back
Top Bottom