Recent content by kichaga

  1. K

    Movie gani ya kipelelezi unaikubali kuliko zote hadi kesho?

    Agent 47??? Mbovu sana bora ile ya mwanzo
  2. K

    Tuige Korea Kaskazini kupiga marufuku shughuli za kidini

    Wanyama pekee ndio hawana dini cause ni hayawani..na asiye na dini ni kama mnyama..hao unaosema hawana dini wana sherehe zao za ajabu ajabu mfano china wana mwaka mpya wao wanausherehekea zaidi ya simu mbili...hao walioendelea wenyewe wanazisharehekea sembuse north korea...
  3. K

    Movie Reviews

    Mi nasubiri kwa hamu movie ya mkali wangu wa kizazi hiki...IP MAN 3....
  4. K

    Je Rais Magufuli anamlinda ama anamuogopa Mussa Assad baada ya kukaidi katazo la safari za nje?

    Watu wagumu kuelewa aisee..safari za nje zilizokatazwa ni zile za kugharamiwa na serikali..Ila kama una safari binafsi we nenda kwa gharama zako
  5. K

    Kuanzia Januari 2016 wasanii kulipwa na Redio na Televisheni zitakazotumia nyimbo zao

    Ni asilimia ngapi ya mashabiki wa sanaa wana access ya hizo appl au network. It's less than 10% ya mashabiki wa sanaaa...kwa hiyo radio zikigoma watapoteza about 90% ya mashabiki ....nani hapo atapotea..?
  6. K

    Kuanzia Januari 2016 wasanii kulipwa na Redio na Televisheni zitakazotumia nyimbo zao

    Hapana kaongea ukweli mtupuuu...soko letu bado sana kufikia hapo...wasanii wetu wanategemea show pekee....lazima kwanza uweke mfumo thabiti wa hii biashara na iwe na faida kubwa ...ndipo hapo utaweza bana vyombo vya habari
  7. K

    Kuanzia Januari 2016 wasanii kulipwa na Redio na Televisheni zitakazotumia nyimbo zao

    Hili swala si la kurukia kichwa kichwa aisee...litaua muziki na kazi za wasaniii...njia pekee na nzuri ya kufanya promotion nyimbo za wasaniii ni kupigia radio na TV.. Sasa unaposema waanze walipa wasaniii..maswali ya kujiuliza ni je soko letu limefikia hatua hiyo? Je radio zina uwezo wa...
  8. K

    Lowassa: Tusipoitoa CCM madarakani mwaka huu, hatutaweza tena kamwe

    Hakuna lolote..kila kitu kiko wazi kwamba mwaka huu mmesaidiwa ingia ikulu kwa vyombo vyooote vya usalama...lla ukweli ni kwamba alowasa alishinda na hata ccm mnajua hilo..kama si marope cheza michezo na police kuvamia vijana wetu na kuwasingizia kwamba wanaingilia mawasiliano ya tupe..ccm...
  9. K

    CCM kwa nini kanda ya kaskazini mmepotwza majimbo mengi?

    Rafiki wa ccm ni ujinga..na bahati nzuri kaskazn tuliufuta ujinga kitamboooo kirefu...jaribu hebu taja mikoa minne iliyoendelea hap tz kama hutotaja mikoa ya ksk...hebu taja mikoa yenye umasikini na hali mbaya ya kiuchumi kama hutotaja ile mikoa ccm ilishinda kwa 100%...rafiki wa ccm ni ujinga...
  10. K

    Kikwete: Wanaokwepa Kodi hawataacha kirahisi, Magufuli endeleza mapambano

    Na akiendeleea kuongea watu watakuja na ushahidi ..ni bora akae kimya alinde walau kaheshima kadogo alikobakiwa nako...na kila siku nasema sijutii kumpigia kura lowasa..maana najua hata magufuli naamini kuna watu hatoweza wagusa..haswa d former first family members
  11. K

    Risasi ya mwisho iliyobaki kwenye bunduli ya Lema huku Arusha, ni Lowassa!

    Bao lake bora Mzee angelipigia ........maana we ni kiazi namba moja...kwanza hata kadi ya kupigia nadhani huna
  12. K

    Jay Moe aonyesha utu uzima dawa katika hili game

    Itupieni humu basi..yaani kwa upande wangu mm..huyu jamaa na fid ni undisputed..kisha hao wengine ndio waanze gombea moja hadi mwisho...
  13. K

    Sakata la utoroshaji makontena 329 bandarini; Waliokamatwa wafika 47

    Yule jamaa wa HSC mbona simwoni kwenye list..au ndio mwaonea vijidagaaa
  14. K

    Magufuli atashindwa kama Nyerere

    Kama mzazi wako alinipeleka shule basi napoteza fedha zake..naona magufuli kawashika pabaya..yaani unataka manji aendelee kuchekewa kisa ana fedha... Ukweli ni kwamba sheria zipo zinazozuia uwekezaji maeneo ya wazi kwa matumizi ya raia wote..ukifwatilia ya manji utagundua uozo na rushwa kubwa...
Back
Top Bottom