Recent content by kibwetani

  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Kuongea na wazee pamoja na wakuu wa Mikoa kesho 27 /08/ 2025

    kwani waislamu sio watanzania
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

    eti ee ila rohoni unajua kuwa viongozi wailslamu ndoo wanaleta neema. waulize wafanyakazi wa selikali watakupa jibu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nimepigwa Tsh milioni 8 kwenye biashara ya uwakala kupitia mfanyakazi mzembe

    pole sana kiongozi kumtapeli mwanamke ni rahisi sana ndoo maana wamejazana kwa waganga na manabii feki
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mwanza Watoto 70,000 hawakuwa na madarasa walisoma kwa kubanana sana. Serikali imejenga madarasa 14,000, Shule mpya 89, Mabweni 123 na maabara 158

    haters wake wanakuja sasahivi kukutukana hawataki haya yasemwe.
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu uteuzi wa wagombea udiwani na ubunge

    humtaki wewe na nani? Samia tuna nae na tunadunda nae na tume ishaweka ratiba ya kampeni na upigaki kura
  6. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia amekumbana na mitihani mizito katika uongozi wake lakini ameishinda yote, Oktoba tunatiki mwanzo-mwisho

    hivi mnaposema hana uwezo mnaamanisha uwezo gani labda
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

    lakini ndoo huyo wakati wake democrasia mnayo ililia ilishamili mpa mkamuita dhaifu. ajira alizimwaga kama maji.
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

    hahahaaaa haya ulioyoyasema hawataki yasemwe. wemekalia kusema nchi imemshinda. yaani wanataka soote tuwekwenye fikra zao kuwa huyu mama toka aingia madarakani hamna alichofanya chema.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mahali hapa dar kuna uchawi kuzidi Chanika,chamazi na Mbagala ???

    hakuna watu washirikina kama hao watu wa ushuani. tena hao makafara yao ni hatarii tupu.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hili wimbi la wahamiaji hasa Burundi Jenerali wa Magereza anasubiri nini kupisha ofisi?

    unachosema nikweli hata lushoto wapo wanajifanya kuuza kahawa.
  11. K

    JamiiForums Tanzania RSF ya Sudan yaua takribani watu 300 Kordofan Kaskazini

    s sasa hapo uislamu umeingiaje? hiyo chuki yako dhidi ya uislamu itakupa msongo wa mawazo
  12. K

    JamiiForums Tanzania Moto wa No reforms No election umeanza kuwaingia walimu watanzania, freedom is coming tomorrow!

    hii nikweli kabisa. walimu walioomba ni wachache wengi wamegoma kabisaa
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waganga wa kienyeji wanawafaidi sana wanawake

    dah nimecheka sana. nimekumbuka kuna jamaa yetu mshona viatu . yaani anajifanya mganga ila hana lolote anatuhadisiaga namna anavyo watapeli watu tunachekaga balaa hasa wanawake. kuna vibinti vilitoka mwanza kuja lushoto kwahuyo jamaa . vizuri balaaa nikasema mwanangu nipekimoja nipige. chaajabu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kodi inaangamiza vijana Wa Kilimanjaro, Arusha, na Manyara

    sio pombe tu ndugu ongeza na matumizi ya bangi.
Back
Top Bottom