Naheshimu mawazi yakpo. Lakn vyovyote v vile, wapelekeni mahakamni ili mawakili wao wakapambane kwa hoja kuliko kuendelea kuwashiukilia magerezani. kinyume ni kuwanyima haki kama binadamu.
Kaka Tuhuma ya masehehe wa uamsho ni kuchapuza muungano utende haki, si vyenginevyo. Walikuwa wakikosoa namna ya uendeshaji mbaya wa muungano wetu huu. Kwa vile muungani unachukuliwa na watu tanganyika kama roho , pumzi na uhai, basi wamepewa kesi ya uonevu kabisa ya ugaidi na wakati miaka...
Kaka BAKWATA ni wangese sana. Mie ni mwislamu kwa kiuzaliwa na vitendo lakn kwa taasisi ile kaka bora nikale kito moto kuliko kuwaamini bakwata. Kuna shule za kiislamu zinachomwa moto wao ndo kwanza wanaimba mapambio ya kuisifu CCM ,kuna masheikh wa UAMSHO mwaka wa tisa sasa jela hata...
Huu ni utawala badala ya kuongoza. White colonialism was far better kuliko huu balck man colonialism. kinachoendelea tz sasa ni dola kuwatawala wananchi wake badala ya kuwaongoza.
Nafikiri hajui kama mauaji, utekaji na mambo mengine yanawaumiza watanzania. naamini kwa dhati kabisa ndani ya CCM kuna watu great minds, with rational thinking lakn hawajafurahishwa na matukio hayo ya utekaji,kujeruhi, na kuuwawa. hawana budi na wanaogopa kuyasema wakiwa ndani ya chama chao.
Usikate tamaa Halima. alisema Gwejima kuwa madrasa zote ktk kawe angezibadilisha kuwa Sunday school. Hapo hujamdhalilisha kwani mwenyewe Gwejima alisema kwa kinywa chake. Kaza Spana Halima. Hakuna kurudi nyuma. Keep it up. Unafanya vizuri
Mimi ni muislamu mzuri tu very punctual kwa sala tano lkn kwa hili Mungu awape laana ya milele BAKWATA kuunga mkono CCM. cku zote BAKWATA wakiambiwa kuwa ni tawi la CCM wanakataa. washenzi hawa.
Allah awape laana ya milele watu hawa wote. Hivyo kweli hawaoni masheikh wa UAMSHO na masheikh...
wengine tunao watoto wetu mabinti vyuoni . hakika kma mzazi inauma sana mwanao kudhalilishwa kingono akiwa chuoni. mamlaka zinazohusuka zichukue hatua haraka kukomesha uovu huu na watakaobainika wafukuzwe kazi mara maoja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.