Shukrani kaka, ila kama kampuni ya Apple ndo wanafanya hivyo wanakosea ,yaani ios ya simu yako ikipitwa muda unatupa duh!!! Mbona Android hatuoni kitu kama hicho.apps ndo inabadilika version ila os ya simu haubadilishi hata pc hivyo hivyo
Nimekuwa nikitumia Apple iPhone 3g kwa muda sasa.sasa nimehitaji kuweka application ya Jf na nyimginezo inagoma ikisema os ni yazamani yaani ni 4.1 na inatakiwa niwe na version zaidi ya hiyo( new version).
1.Masada wenu Kama kuna njia ya kuweka old apps Au
ku-update ios( njia iliyo salama)...
chief nashukuru ni c3, hivyo chief unasema unanishauri simu niwe naifanyia backup mapema!
nipe maujanja nitakavyo fanya nisije patwa na tatizo kama hili tena.
nikitambua jf ilivyo jungu kuu, naombeni msaada niweze kurudisha contacts zangu.hii ni baada ya kufanya hardreset na mtu ambaye nilikuwa nimemuachia.
help pls.
Inasemekana kijana amekuwa muhudumu katika mgahawa maeneo yale. mahuti yamemkuta nje ya mgahawa akiwa kwenye shughuli yake ya kusambaza chai kwa wateja wa nje na mgahawa gafra akakutana na huyo chizi ameshikilia kisu ndipo akaanza kumchoma visu sehemu mbali mbali za mwili wake.
mtu anayesadikika kuwa mweu amemuua kijana kwa kumchoma visu mjini Mwanza jirani na msikiti wa Ijumaa,kutokana na hasira za nzengo naye kapigwa mpaka kauawa.Tuki hili limetokea majira ya saa 9:15
Source:mimi mwenyewe
Sasa wewe tandaleone kati ya suala la SHIBUDA na la BALOZI WA CHINA ni lipi lenye maslai ya taifa? Jamani tuache kujishusha.CCM ni watu wanapenda kucheza na akili ya watz ukiwemo wewe,kwa akili yao wanaona kwa kuwa China imeendea kwa kiwango kikubwa na ndo inayoonekana kutoa vitu kwa bei ndogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.