Habari wana jmf.
Nauza commercial fridge2 boss na bruhm ni show case nakila moja inabeba lita450 za bidhaa, friji nilizinunua dukan mwakajana 2016 mwezi wa 4 zikiwa mpya na zote zina VAT receipt,
Hazina tatizo lolote tangu nizitumie dukani kwa miezi7 sasa, naziuza zote mbili
kwapamoja kwajumla...