Recent content by Kibuche

  1. K

    Majibu ya pingamizi ya mgombea wa CHADEMA kwa msimamizi wa uchaguzi jimbo la CHALINZE

    Acha upotoshaji aliyeambiwa hajui kusoma na kuandika ni wewe sio wakulima na wafugaji.
  2. K

    Muonekano wa wana Chalinze katika harakati za kampeni za Ridhiwani Kikwete

    Tatizo letu wengi wetu tunapenda kupotosha ukweli kwa mapenzi yetu ktk vyama tunavyovipenda na hili ndilo tatizo kubwa linalokuja kutuleta taabu baadae baada ya matokeo kutangazwa mnasingizia mmeibiwa kura kutokana na hizi propaganda zenu mnazozianzisha mapema.
  3. K

    Tafakuri tunduizi: Tutafakari pamoja kama ni kweli Rose Kamiili katoa rushwa

    Acheni siasa za maji taka kutaka kumkingia kifua huyu Rose Kamili kwa kuweka tafakari ya ujanja ujanja waliomkamata watatoa ushaidi wao kunakohusika ndio ukweli utajulikana. Na hao vijana wawili wa Arusha waliokutwa na silaha za jadi leo nao weka tafakari kupotosha uma kwani siasa haiwezekani...
  4. K

    Rais Kikwete, mbona umeamua kuangamiza Taifa? - LEMA

    Hakuna kudanganyana kwenye hili hizo propaganda zako Lema unasahau wewe ndiye kinara wa kupiga wenzio hata kwenye vikao vya ndani vya chama chako? Kipi mh. Rais alichoongeza zaidi ya kuwataka wanachama wake wajikinge na upumbavu wako na Msigwa wakati wa kudanganywa umekwisha.Hatutakubali mtupige...
  5. K

    Wabunge watafuna Posho hovyo! CCM, CHADEMA wote washiriki mchezo mchafu

    Huu upuuzi haujadiliki wala huyo Nassari si mwaminifu alijua fika kuwa anatakiwa kwenda jimboni kwake kuonana na wanachi wa jimbo lake kwenye harambee maalumu iliyoandaliwa muda mrefu.Iweje akubali kuchukua posho ya kwenda nje ya nchi wakati anashughuli nyingine? Ni mwizi kama wengine...
  6. K

    Mkutano wa Dr. Slaa Kigoma: Gari la CCM linapita usiku huu inatangaza maandamano

    Propaganda huwa zina misho wake hakuna asiyejua kuwa Kigoma kuna vurugu toka Mheshiwa Zitto avuliwe nyadhifa alozokuwa nazo ndani ya CDM.Suala hili limewagawa watu hapa Kigoma 1.Wanaounga mkono Zitto kuvuliwa nyadhifa alizokuwa nazo wanaonekana si wazalendo hawana uchungu na mkoa wa Kigoma na si...
  7. K

    Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

    Acha uongo wewe hujengi unabomoa Chama ongea tatizo litatuliwe.Propaganda hazina nafasi yale maandamano na mabango hukuyaona ulikuwa kipofu wa muda haya endelea kuwajaza ujinga ili upate ujira wako ila iko siku historia itakuhukumu.
  8. K

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Singida ajiuzulu. Adai Kamati Kuu ni wanafiki...

    Tindu Lisu historia itakuhukumu tuombe uzima.
  9. K

    Dr Slaa kulakiwa Kigoma kwa Maandamano.

    Vigezo gani umetumia maana watu wa Kigoma ni ndoto kumpokea Dr. Slaa watakuwa wamejitukana maana Dr.Slaa na kundi lake la wala ruzuku za CDM ni maadui wa wananchi wa Kigoma na ndio maana hata vijana wao waliowatuma kuja kuwachunguza wana Kigoma na kujenga hoja za kuhalalisha maamuzi ya kamati...
  10. K

    Makamu wa Rais wa Chama Cha Madaktari ajiuzulu wadhifa wake na kujiunga CHADEMA

    Amuulize Zitto na daktari Mkumbo ndio ataelewa.
  11. K

    Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Monduli asimamishwa uongozi mara moja

    Hivi ni nani asiyejua kwamba kuna Chadema asili na Chadema family mbona kasema kweli halafu ambao wanakisemea chama uongo na uzushi hamuwajadili.
  12. K

    Mwigamba: Sitoki wala siombi radhi. Atoa ufafanuzi kuhusu Waraka wa Mkakati wa Mabadiliko 2013

    Tunahitaji watu wenye muono kama wewe kunusuru demokrasia ndani ya vyama vya siasa.
  13. K

    Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

    Atakayempinga Mbowe na wala ruzuku ndie atakuwa mtuhumiwa ambaye hajajulikana.
  14. K

    Said Arfi - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ajiuzulu rasmi!

    Hakuna demokrasia ya kweli ndani ya CDM
Back
Top Bottom