Recent content by Kibubu4

  1. K

    Wizara husika imchunguze Pastor Dominick (kiboko ya wachawi)

    Ni kweli naona kama anapanga watu
  2. K

    Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

    Tuunde chama chetu. Mimi nina miaka 33 niwe tu waziri wa viwanda na biashara maana nawaza kama wewe tu
  3. K

    SoC04 Cashless itasaidia TRA kukusanya mapato Tanzania

    Leo tena nimerudi kuleta andiko langu kuhusu Cashless itakavyoongeza pato la Taifa. Kwa hali ilivyo nchini kwetu hakuna kitu kinachotuzuia kuachana na matumizi ya fedha Taslimu kwenye malipo mbalimbali. Ili serikali ikusanye mapato vizuri inabidi kulazimisha wafanya biashara wote na makampuni...
  4. K

    SoC04 Suluhisho la mgao wa umeme, itakayopunguza gharama na mgao

    Sisi Tanzania kutokuwa na umeme tunajitakia, kuna jamaa yuko humuhumu Dar anaweza kufua umeme kwa kutumia sumaku tu anaziunganisha kwa kutumia maarifa fulani. Kuna kiongozi mmoja kutoka wizara ya nishati aliambatana na maafisa wa Tanesco akauona na wakaupima akasema " ma injinia wa Tanesco hapa...
  5. K

    SoC04 Serikali iwe na jicho la tatu katika biashara ya uingizaji wa bidhaa toka nje ya Tanzania

    Nashukuru sana kupata nafasi ya kushiriki kwenye Stories of change. Nimekuwa nikitoa maoni yangu kwenye mtandao wa X kwamba Serikali inaonaje kama ingeshusha ushuru wa kuagiza bidhaa toka nje ya Tanzania. Hapa namaanisha bidhaa kama magari, mashine na vifaa vyote vya kielectronic; bidhaa hizi...
Back
Top Bottom