Hii kesi hamuwezi kutoboa sababu kuu wanufaika wa hiyo exemption ni watumishi wa mahakama (kesi ya nyani unapeleka kwa ngedere). Inapigwa chini mapema tu. Watu vilaza wametafuta shortcuts ya kupata uwakili bila kusota shule. Shame
Huu ni uongo, AI haiikubali kufanya edit/changes kwenye financial bills ie invoice, receipts etc. Kwanza mtu utatoa vipi mzigo bila ku confirm pesa imeingia
Sekta nyingi serikalini mishahara haiendani na hali ya maisha sio madaktari peke yao, hii inafanya rushwa iwe solution ya ku-survive. Shida inakuja kwenye kada kama ualimu ambao hawana option ya kuvuta chochote kitu.. Hii sio sawa kabisa
Arteta hawezi beba epl, msimu wa nne huu ana fumble dakika za jioni..kwa timu hii hii akipewa kocha kama Antonio Konte hata kwa msimu mmoja tu anabeba vikombe zaidi ya viwili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.