Recent content by Kibosho1

  1. Kibosho1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jini Mahaba ni dhana tu sio kweli, ni kushindwa kuwajibika kwenye ngono

    Wasi wasi huo
  2. Kibosho1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamvi la wanawake: Wewe raundi ngapi akienda zinaanza kuwa kero?

    Umri unategemea
  3. Kibosho1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jini Mahaba ni dhana tu sio kweli, ni kushindwa kuwajibika kwenye ngono

    Sababu ya hitaji la mwili
  4. Kibosho1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jini Mahaba ni dhana tu sio kweli, ni kushindwa kuwajibika kwenye ngono

    Kwa uchunguzi wangu mpaka nimefika hapa naamini hakuna kitu kinaitwa jini mahaba. Hii dhana imekuja baada ya mume au mke kushindwa kutimiza wajibu wake mchezoni na kusingizia mwenza wake ana jini mahaba. Ukweli ni kwamba kuna wanawake na wanaume ambao ngono kwao ni jambo kuu, kwa hiyo...
  5. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Moshi Mjini ina nini kipya cha kujivunia? 2025 watasema nini ili wachaguliwe tena?

    Kwa hiyo huo utaratibu ndio unauona kwa Tanzania pekee? Dunia nzima? Una safari ndefu sana
  6. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Moshi Mjini ina nini kipya cha kujivunia? 2025 watasema nini ili wachaguliwe tena?

    Unaijua kaz ya mbunge? Au unaropoka kishabiki tu?
  7. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Jengo la TRA Mnazi Mmoja laungua moto

    Acha liungue ni la zamani sana wajenge lingine
  8. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Moshi Mjini ina nini kipya cha kujivunia? 2025 watasema nini ili wachaguliwe tena?

    Wao hawatoi hela, serikali ndio inamuua
  9. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Moshi Mjini ina nini kipya cha kujivunia? 2025 watasema nini ili wachaguliwe tena?

    Kabisa mji haukui, inadhoofishwa tu
  10. Kibosho1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa jicho la 3 ndoa za Kikristo ni mzigo kwa waume

    🤣🤣🤣🤣utazubua sana ila haiwezekani kila wakati ukawaza jambo ilo ilo... Kwenye mengine sasa ndio mnaanza kuona mna mitazamo tofauti na itikadi tofauti na malezi tofauti mapendezi tofauti. Hatari
  11. Kibosho1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa jicho la 3 ndoa za Kikristo ni mzigo kwa waume

    Hii plan ya kuwa na backup ni nzuri ila nawaza migogoro au mtoto kukosa malezi ya pande zote, hapo najikuta nakomaa kwanza
  12. Kibosho1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa jicho la 3 ndoa za Kikristo ni mzigo kwa waume

    Unanitia moyo kimtindo...
  13. Kibosho1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa jicho la 3 ndoa za Kikristo ni mzigo kwa waume

    Sema ww mada huaielewa. Rudia kusoma tena
Back
Top Bottom