Recent content by KibopaII

  1. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Mob.No Ya Prof Safari au Lissu

    Baadhi ya wagonjwa wa UKIMWI wana kasumba ya kutokubali kwamba wanaumwa Ukimwi, na huu ndio huwa mwanzo wa mwisho wao, maana bora wangekubali wakanywa dawa za kurefusha maisha wangeweza kuishi muda kidogo kulinganisha na juhudi zao za kukataa kwamba wameathirika. Ndivyo ambavyo chama...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Clip ya Video ya Bw. Lwakatare (mtazamo tofauti)

    Boko Haram wewe kiboko....umepioga nyeti kabisaaaaaaaaa
  3. K

    JamiiForums Tanzania Clip ya Video ya Bw. Lwakatare (mtazamo tofauti)

    Dua na ndoto zako nzuri sana laiti kama Mungu angekuwa anasikiliza dua kama yako, basi leo Chaga Development Maniesto ingkuwa Ikulu siku nyingi
  4. K

    JamiiForums Tanzania Clip ya Video ya Bw. Lwakatare (mtazamo tofauti)

    Baba DESI.....hahahahahhahahahahhaahhahaah mbavu zangu mweeeeeeeeh.!!!!!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Clip ya Video ya Bw. Lwakatare (mtazamo tofauti)

    Mmesha mwaga mdondo wa MTEKAJI wenu au ndo mmeshamtelekeza?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Clip ya Video ya Bw. Lwakatare (mtazamo tofauti)

    Baadhi ya wagonjwa wa UKIMWI wana kasumba ya kutokubali kwamba wanaumwa Ukimwi, na huu ndio huwa mwanzo wa mwisho wao, maana bora wangekubali wakanywa dawa za kurefusha maisha wangeweza kuishi muda kidogo kulinganisha na juhudi zao za kukataa kwamba wameathirika. Ndivyo ambavyo chama...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Uhuru Kenyatta wamuumbua Maalimu Hassan Yahya Hussein

    Stori haikumaliziwa kuwa tofauti na babaake,huyu yeye ni mwanachama wa Chadema na aligombea udiwani kwa ticket ya Chadema!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kinana na CCM wahusishwa ushindi wa Kenyatta

    Hahaha Chadema wachezea kichapo cha mbwa mwizi watoroka na magari yao usiku kutoka Kenya....subirini cha 2015 hiki cha Kenya kilikuwa rasharasha!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

    Magwanda bhana badala ya kujadili hoja unahangaika na tarehe !!!! Ndo maana mwenyekiti wenu alipata ziro form four!!!!!!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

    Great Thinkers, Kilichomponza kaka Kibanda hiki hapa........ NAMUOGOPA ABDURAHMAN KINANA Na Absalom Kibanda Kwa mara nyingine tena, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeandika historia mpya baada ya kufanya mabadiliko mazito katika safu yake ya uongozi wa kitaifa. Ni mabadiliko mazito si kwa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania CCM yalaani vikali kuteswa kwa Kibanda

    Vibaka wa Chadema kwa kujibaraguza bhana!!!! Sasa mumpige nyie kwa kukerwa na makala zake za kuisifia CCM then mje hapa mnachongaaaaaaaaaaa! Nyambafu zenu
Back
Top Bottom