Wewe philipo ndio mnafiki na mchonganishi lazima penye haki pazungumzwe,tusikubali kuendelea kuchonganishwa na kubaguana,hv unadhani vita ya udini ni ndogo na inaishaga?hawa wenzetu nao vilevile wanahaki ya kuomba na kushauri chochote wala tusi waone ni wadogo kwenye vita ni wengi.hata bwana...
Nadhani tufikie mahali watanzania tupiganie sera za kimaendeleo na kuachana na marumbano ya kisiasa,watu wengi uvumilivu umewashinda na kuanza kuandika matusi kwenye hizi forum.utashangaa mtu mwenye akili timamamu anahoji(KAMA CHAMA CHA CONSERVATIVE HAKIPENDWI NA WAINGEREZA NANAI ALIKIWEKA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.