Recent content by kibol

  1. kibol

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

    Those who practised celibacy, among them i admired Osho to the maximum, his reaching were superb.
  2. kibol

    JamiiForums Tanzania Mamlaka haya makubwa Gwajima kayapata wapi?

    Information is power
  3. kibol

    JamiiForums Tanzania Mamlaka haya makubwa Gwajima kayapata wapi?

    I bet he has some Intel to compromise with the state not otherwise.... For that confidence.
  4. kibol

    JamiiForums Tanzania Dk Mo yuko sawasawa kichwani?, Anamchafua mwekezaji Mo.

    Vijana wanachopigania ni kuondoka kirusi ndani ya simba, uto wanapata sana info za ndani ya mnyama, hivyo nyumba lazima isafishwe.
  5. kibol

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Mnidai 10 million mkimuona Mpanzu Simba msimu ujao

    Mpanzu bado yupo sana simba, ogopeni matapeli.
  6. kibol

    JamiiForums Tanzania Simba yamnasa Kiungo wa CS Sfaxien Balla Conte Ijumaa, Julai 11, 2025

    Mkuu nimeshakubali yaishe, msimu ujao hamna kitu.
  7. kibol

    JamiiForums Tanzania Simba yamnasa Kiungo wa CS Sfaxien Balla Conte Ijumaa, Julai 11, 2025

    Engineer kaamua kutunyanyasa mkuu, muda huu anataka kutupokonya ata kile kidogo tulichokuwa nacho.
  8. kibol

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Usajili utakaofanywa na Simba utakuwa na umakini wa ICU

    Kasema kuna mali moja ikitambulishwa, maji yatahama kutoka bagamoyo hadi morogoro, hivyo morogoro haitakuwa tena mji kasoro bahari
  9. kibol

    JamiiForums Tanzania Simba yamnasa Kiungo wa CS Sfaxien Balla Conte Ijumaa, Julai 11, 2025

    Kama jambo limefanikiwa sifa nikwa uongozi wote, we stand together, we fall together.
  10. kibol

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Usajili utakaofanywa na Simba utakuwa na umakini wa ICU

    Jean Claude Girimugisha awepo kwenye list pale wakuu
  11. kibol

    JamiiForums Tanzania Simba yamnasa Kiungo wa CS Sfaxien Balla Conte Ijumaa, Julai 11, 2025

    Kama ni kweli, basi ni moja ya sajili na ingizo bora sana kwa mnyama, kongole viongozi wetu.
  12. kibol

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

    Viongozi wa wekundu wa msimbazi siwezi kuwaelewa kabisa tukimkosa huyu fundi, Mussa Balla Conte.
  13. kibol

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Tata kiagata
  14. kibol

    JamiiForums Tanzania Tetesi: GE2025 Hanje Nusrat (Mrs Kitenge) aongoza Kura za maoni Singida Mashariki

    Kidumu chama cha mapinduzi.
  15. kibol

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC- Chacha Agomea Millioni 5 za mtia nia amchana Makavu

    You made my day, thanks a lot.
Back
Top Bottom