Recent content by kibokoni

  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu anakatwa na NEC kwa kipengele kipi cha Sheria?

    Sisi hatuna mahakama tuna matawi ya ccm inayosimamia kesi ya akwelina na kabendera
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Usalama wa Anga Tanzania (TCAA) imewataka wamiliki wa 'drones' kuzisajili ndani ya siku 4

    Kwahiyo mpaka vile vishada wanavotengeza watoto pia vikasajiliwe
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu usijidanganye; Watanzania siyo wajinga kama wananchi wa Belarus wanaoshinikizwa na mabeberu wamtoe Rais wao madarakani

    Mabeberu nikina nani au niwale wanaowafundisha jeshi letu na kuwapa misaada ya magari na vifaru???
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri awataka wanasiasa wanadi Sera badala ya kupambana na Vyombo vya Habari

    Magazeti yote na TV zote zina msifuu mungu mtu kila siku
  5. K

    JamiiForums Tanzania Lissu awaalika Wananchi wa Dar na mikoa ya jirani kufika Mahakamani Kisutu kwa wingi tarehe 26 kusikiliza shauri lake

    Mahakama imeanza kuzaraulika tangu ile kesi ya akwelina na kabendera
  6. K

    JamiiForums Tanzania Lissu awaalika Wananchi wa Dar na mikoa ya jirani kufika Mahakamani Kisutu kwa wingi tarehe 26 kusikiliza shauri lake

    Lisu haendi na wakili wake atasema lisu yuko dodoma karejesha fomu ya kugombea uraisi kwahiyo kesi ipangiwe tarehe nyengine chezea lisu wewe Mara hii ccm njama zenu zote zishajulikana
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tunduma yazuka vurugu na mabomu ya machozi yapigwa na polisi

    Kwani wamachinga wao siyo binaadamu
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tunduma yazuka vurugu na mabomu ya machozi yapigwa na polisi

    Dk sheni mwaka 2010 aligaiwa urais wa Zanzibar na ilikua hatakitambulisho cha kupiga kura hana
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tunduma yazuka vurugu na mabomu ya machozi yapigwa na polisi

    Kama mama ako alivo lishwa dira na kofia za ccm
  10. K

    JamiiForums Tanzania Watatutangaza tu

    Kupendwa hasaraha huyu jaamaa ananyota kama ya maalim seif
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nishahamasisha wahitimu 800 tuliokosa ajira tuikatae CCM kwa nguvu zote

    Kama ww ulivo shinda ktk familia yako
  12. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lipumba, Shibuda kutumika kumdhibiti Lissu asigombee Urais?

    Kawahiyo yule aliyokua akihutubia pekeyake yy na kebinet ya chama chake tu ilikua akitangaazaa nini
  13. K

    JamiiForums Tanzania Unahisi huu utakuwa ni mtandao gani?

    Ccm hata rangi ya chupa inaonekana
  14. K

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa Lissu: Majimbo ya uchaguzi yako 264 yeye katembelea 20 anasema katembea nchi nzima na anapendwa nchi nzima!!

    Ndio mukammiminia mvua ya risasi katika majengo Yale ya bunge walinzi mukawaondoa CCTV camera mukaziondoa mukamvua ubunge mukazuiya kumtibu mukalazimisha apelekwe muhimbili mukammalize kabisa lakini mukafeli mwisho mukaziya wabunge wenu wasiende kumuangalua na kumjuilia hali lisu
Back
Top Bottom