Recent content by Kiboko.

  1. Kiboko.

    Uapisho wa Samia: Kwanini viongozi wa kidini wa kikristo sio waoga wala wanafiki kama wa kiislamu?

    Hamna akili, angalia hata viongozi wanaongoza nchi ni vilaza kama wewe.
  2. Kiboko.

    GE2025 CCM Isipo chukua hatua mapema itaangamia muda sio mrefu

    Habari za mchana wanabodi, Nipende kutoa angalizo kwa chama tawala, kwa haya yanayoendelea kwenye chaguzi zao za kura ya maoni kupata wabunge, wawakilishi na madiwani. RUSHWA imekuwa ndo kigezo cha mtia nia kupata kura za wajumbe. Mfano hai jimboni Ukerewe mkoa wa Mwanza, kuna mtia nia anaitwa...
  3. Kiboko.

    PreGE2025 Samson Kasara atia nia rasmi ya kugombea Ubunge, Jimbo la Ukerewe

    Tujuze amepenya 3 bora? Au kachangia chama 500,000 tu
  4. Kiboko.

    Tamko la wana Kawe ( Raia ) kwa Wanajeshi wa Lugalo baada ya KUTESWA kwa VIPIGO na KUUMIZWA vibaya, huku hadi leo JWTZ halijawaomba msamaha

    Acha ushabiki, Kanal wetu kauawa na mhuni mmoja hapo Kawe unatarajia nini? Hatuna kawaida ya kuongea sana. Sifa za kijinga zitakuponza.
  5. Kiboko.

    Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

    Mwanasiasa mwenye akili anajua turufu yake iko kanda ya ziwa utake usitake, hushangai kwann baba wa taifa ametoka kanda ya ziwa? Kama huwez wapiga ungana nao…. Nenda daftar la kudumu ya tume ya uchaguz ya taifa angalia wapiga kura wa kanda ya ziwa afu linganisha na kanda nyingne.
  6. Kiboko.

    Namtafuta Mwalimu wangu wa O. Level anaitwa Kisuu

    Kisuu alikuwa headmaster bwiru boys miaka ya 2000, ilipofika 2008 akahamishwa baada ya mgomo mkubwa wa wanafunzi dhidi yake ndo akahamishiwa Moshi tech, aliwah kutwa na skendo ya kuibiwa nguo zote na pesa baada ya kuopoa dada poa Arusha akalishwa dawa za kulevya… kwa kifupi mzee alikuwa na laana...
  7. Kiboko.

    Balozi wa Tanzania nchini Malawi ataacha lini utoto?

    Enzi za mwalimu palikuwa na mitandao ya kijamii? Ebu acha chuki za kijinga mtu mzima hovyoo
  8. Kiboko.

    Polepole analipwa mshahara kama Balozi, lakini mpaka leo yuko Dodoma. Watanzania Malawi wanateseka

    Tambua kuwa mabalozi wawili hawawez kutana nchi moja, Balozi anaemaliza muda wake bado yupo malawi mpka mwenz wa nane ndo anaondoka na kuja nchini mkabidh polepole mikoba.
  9. Kiboko.

    Bobi Wine: Katiba Mpya pekee si suluhisho

    Huyu kasema ukweli, kaona udhaifu wa chadema ulipo...hakina uungwaji mkono toka kwa vijana
  10. Kiboko.

    Bungeni: Mjadala wa dharura kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Mbunge asema tozo mbili zinaongeza 792 kwenye bei

    wewe uteuzi unakusumbua, hakuna lolote amefanya zaid ya kuwapiga beat waheshimiwa wabunge kutomtaja raisi.
  11. Kiboko.

    Kifo cha hayati Magufuli kuwa moja ya ajenda kubwa uchaguzi 2025. CCM itapasuka na mengi yataibuka

    huna akili weewe maisha ya miaka hyo unataka fananisha sasaaa
  12. Kiboko.

    Kumbukumbu (Legacy) ya Dkt. John Pombe Magufuli

    Wewe ni kilaza, bisha kwa kuleta matokeo yako ya kidato cha nne.
Back
Top Bottom