Recent content by Kibiti1

  1. K

    Miwani ya macho

    Lens 15@ each, flame chagua mwenyewe kadri ya uwezo wako. Kuanzia 15 elf na kuendelea....
  2. K

    Miwani ya macho

    Ilala - Amana, Bungoni.....
  3. K

    Saikolojia: Sababu zinazosababisha magonjwa ya akili ambazo wengi hawafahamu. (psychological disorder)

    Your article is too religious, make it scientific so as people can understand what real happens in the brain and the intervention's
  4. K

    Ansbert Ngurumo: Paul Makonda aongoza kikao cha maangamizi ya CHADEMA ambacho ni hatari kwa Taifa

    Ndiyo maana umewekewa muda na tarehe. Kama unaona haijaingia akilini Fanya utafiti. Lakini ujue hari tuliyonayo watanzania kwa sasa ndiyo hiyo. Kwa uelewa wangu nadhan JPM akiangushwa, Bashite hatakuwa salama. That's why ni lazima afanye kila analoweza ili kunusuru hari hiyo, though time will tell.
  5. K

    Mwongozo ukoje kuhusu kupima HIV/AIDS?

    Hiyo approach tu ndo imeenda kushoto kido coz informed concert kwenye Huduma za afya ni lazima. Wengine tunajijua hari zetu so ukipima afu ukakuta nipo +ve bila concert ni kosa. Ila kwa sasa kila client anayevisit hospital lazima aulizwe status yake na ashawishiwe kupima, akigoma basi
  6. K

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Fyuuu! Wewe mwenyewe hapo humpendi, hata makada nao wanagugumia, hao watz ni wepi? Au waishio Rwanda!!?
  7. K

    Wapi zinapatikana mashine za kuoka mkate

    Mixer ya Kg 100, njoo tuyajenge tuipate kwa 5milion. Iko very simple, ikikorofisha waweza irekebisha mwenyewe.
  8. K

    Makonda: Aliyesema ametekwa ameuchafua mkoa wetu, Iringa wakimalizana nae wamlete Dar

    Tanzania siyo Mali ya genge la walevi wa madaraka. Muda ukifika kutapambazuka tu.....hakuna marefu yasiyo na ncha.
  9. K

    Mwongozo ukoje kuhusu kupima HIV/AIDS?

    Sasa zaidi ya maabara, vipimo vinatolewa wapi? Sema saivi kila anayehudhuria hospitali za umma lazima aulizwe status yake ya maambukizi then anashawishiwa kupima tangu anapomuona daktari ili akikubali vile akienda maabara tu wamuunganishie.
  10. K

    Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Mafuta yapo ya aina nyingi, tafuta mafuta yenye ingredient zinazofit nywele zako, ila kama ishu ni kutokupenda mafuta, jitahidi usiwe na nywele ndefu na uwe unazitana kila utokapo kuoga. Mafuta yanafanya kazi ya kuirainisha ngozi, hivyo hata ngozi iliyozeeka inatoka kirahisi na kuacha ngozi...
  11. K

    Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Kila baada ya kutoka kuoga kama unanywele ndefu kidogo, jitahidi kuwa na utaratibu wa kupaka mafuta na kuchana nywele hata kwa kitana kidogo, itakusaidia kuondokana na tatizo hilo. Kwa kawaida hii husababishwa sana na wanaume wengi kutokupenda kupaka mafuta ya nywele kichwani na hivyo kufanya...
  12. K

    Ni maandamano au ni mapinduzi?

    Kila mtu atakufaga tu one day. Ukiua na wewe jua utakufaga tu.....so no fear of dying here
Back
Top Bottom