Kama wanakosa haki ya kuchaguliwa hivyo hivyo hawana haki ya kuchagua inabidi nao waunde umoja wao ili waweze kuchagua na kuchaguliwa it's simple for me
Nakumbuka Nelson Mandela baada ya kukaa gerezani kwa miaka 27 na hatimaye kuwa rais wa Africa kusini akishawishiwa alipe kisasi kwa walio mtesa yeye alichukua njia pana ya kuunda tume ya maridhiano na upatanishi hakika nampenda sana Nelson Mandela
Kaka January fanya kazi zako nakutakia ndoto njema, mzee waangalie mawaziri, wakuu wa mkoa na wilaya ambao kila siku wako kwenye social media hakika hawa Wana lengo tofauti kabisa na wewe wao wa naangalia fursa za 2020 na 2025 mzee waangalie vizuri siku njema
Hata kwenye mikutano yao kusiwe na Neno asalam alaykum au tumsifu yesu kristu au bwana yesu asifiwe sana ibaki people's power na kidumu chama cha mapinduzi au ccm oyee au uzalendoooo nawaailisha
Hapa nakubali serikali nimefurahia kauli hii ila iwe ni pande zote hivyo hata viongozi wa kisiaaa na serikali wapokuwa kanisani au msikitini Wakati wa IBADA kabla na baada wasipewe kipaza sauti kwa kisingizio cha kuwasalimia waumini msumeno ukate pande zote hapa kazi tu
Kwa ninavyo jua kanuni na katiba ya chama cha mapinduzi anayejua nani atakuwa katibu mkuu WA CCM ni mwenyekiti wa ccm pekee hadi sasa ndg John Joseph pombe magufuli hizo ni porojo wala hakuna kikao cha aina hiyo huko Dodoma kinacho jadili jina la katibu mkuu kalale mapema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.