Hizo gharama unazosema ni za private hospitals sio za Hospitali za UMMA, na kwa taarifa yako ni kwamba HUWEZI KUMPANGIA MTU AFANYEJE BIASHARA YAKE, Wewe kama huwezi kuwaona hao, Chapa mwendo, nenda MNH
Well said, watanzania wengi hawathamini afya zao na pia hawafikirii sawasawa. Ndo maana kuna hospitali za Umma ambako utamwona daktari kwa tsh 2000/- tu au 5000/-. Mbona hatulalamikii wanasheria ambao kugonga tu mhuri wao kwenye mkataba wako tu bila consultation yoyote ni 10% ya gharama ya mali...
Dr. Maubero na mwenzio Mpigania uhuru, nawashauri muangalie ITV malumbano ya Hoja usiku huu ndo mjue kwamba sisi wananchi tunafikiria nini kuhusu nyie!
Suala la kuniambia nikikuambia dalili zangu bila kunipima wewe utajua kama ni malaria na unipe dawa tu nakufananisha na mganga wa kienyeji...
Mkuu hili ni jukwaa huru, hata kama sijui hivyo ulivyoviandika hapo juu wewe unatakiwa ujibu (kama unataka) hoja iliyopo mezani. Na mimi nikikuuliza vitu nilivyosoma mimi kwa muda wote niliokuwa shule hutavijua. Cha msingi jibu hoja Dr.na kuwa tayari kupokea challenges! Suala la mtoto wangu...
Mkuu ulichosema ni kweli kabisa,ila kifanyike kwenye malaria kali tu! ninachohoji hapa ni sisi tunaoenda hospitali kwa vidalili vya kichwa kuuma, kizunguzungu, maumivu ya viungo n.k
dalili zamalaria mara nyingi ni sawa na za magonjwa mengine kama typhoid, kwa hiyo dr unataka kusema kwamba ukifikiria tu ugonjwa basi uutibu? kama ni hivyo sina haja ya kuja kwako kwa sababu dalili za malaria nazijua na ntanunua dawa dukani
sijaenda shule ya udaktari lakini nimeenda shule zingine na najua kutumia common sense na pia nasoma sana hata vitabu vyenu, kama sio malaria kali, hakuna haja ya kutoa dawa mpaka ithibitishwe kwa kuwa mnatengeneza usugu wa madawa
Nilichogundua ni kwamba kwenye hospitali nyingi za mikoa, kushuka chini asilimia kubwa ya wagonjwa wakifika tu kwa madaktari wanapatiwa dawa za malaria hata kabla ya vipimo, na hata vipimo visipoonyesha uwepo wa wadudu hao, bado utapatiwa dawa. Hivi nyie madaktari wetu kwani ugonjwa ni malaria...
Je ni kosa kuendesha gari ambalo kioo cha mbele kina Crack (ndogo) ? maana nasumbuliwa sana kwa hili... je wale ambao wameweka ribbon kama urembo kuuficha hiyo crack mbona hawasimamishwi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.