Recent content by kibhopile

  1. kibhopile

    JamiiForums Tanzania Ila madalali bwana, sasa hii ndio nyumba ya milioni 35

    ni milioni 35 na laki 8 tajiri, :)
  2. kibhopile

    JamiiForums Tanzania Congo DR ni sehemu ambayo hata shetani hujiuliza mara mbili kwenda

    Sasa mbona tunaona wanakata sana viuno kwenye youtube na bolingo zao au congo ziko mbili?
  3. kibhopile

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

    There is no failing in life, only lessons....
  4. kibhopile

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanadhani Lissu ataleta mabadiliko ili hali kawepo kwenye chama miaka zaidi ya 30?

    Alishafika njia panda ya kwenda kwa wafu, so nafikiri hana cha kumtisha,
  5. kibhopile

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Ipi ni Sexual Fantasy yako?

    Mimi bado kula albino tu,
  6. kibhopile

    JamiiForums Tanzania Hii ni laana gani huyu mwanamke analeta hapa nyumbani?

    Piga 3some yaishe
  7. kibhopile

    JamiiForums Tanzania Namna gani smart naweza kudate na mke wa mtu na mumewe asishtukie?

    Ni wanaume dhaifu tu ndio wanakuwa na mahusiano na wake za watu. Na wanaume dhaifu hufa vifo vya hovyo na vya aibu.
  8. kibhopile

    JamiiForums Tanzania Pengine Penguins hawa ndio viumbe dhaifu zaidi duniani

    Kuna baadhi ya viumbe nao wanatafakari ukuu wa Mungu na kuwaza kusudi la Mungu ilikuwa nini kumuumba Kiumbe mtu maana ndio kiumbe anaeoongoza kwa kutumia akili na rasilimali zote kuunda silaha na sumu za kuangamiza kiumbe wenzake.
  9. kibhopile

    JamiiForums Tanzania Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

    Comments za watu[emoji1544][emoji1544][emoji1544], nacheka sana aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
  10. kibhopile

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazungu wanakua/wanapata maendeleo wakiwa wadogo?

    Elimu yetu sisi imelenga kwenye uwe na uwezo wa kula na ndio maana mwenye nyumba na gari anaonekana ameshatoboa. Nyumba na gari mentality.
  11. kibhopile

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa ni hotuba ya mwendazake ungesikia...

    Ha ha haa, nimejikuta nasoma kwa rafudhi ya kisukuma
  12. kibhopile

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu (vichwa vya familia)

    Well, Mengi yameelezwa na wanaume wenzangu Mimi niongezee tu sipendi Tabia ya “gaslighting”. Nimekosa neno la kiswahili hapa lenye maana ya moja kwa moja lakini ni ile tabia anakufanya u doubt kumbukumbu zako yaani anakataa kwamba hukumpa maagizo fulani, yaani anaruka mita mia kwamba hukusema...
  13. kibhopile

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Oman: Asilimia 18% ya wasafiri wanaotokea Tanzania wamekutwa na maambukizi ya virusi vya corona, tunafikiria kusitisha safari za ndege

    Na sisi sasa hatuwauzii majini kama unyama unyama tu/ Au nasema uongo ndugu zangu?
  14. kibhopile

    JamiiForums Tanzania Kama sio tajiri na huna asset, kusomesha watoto shule za gharama ni ujinga unaongeza umaskini kwenye ukoo

    Dah, yaani umeongea kama wale jamaa wa kulima matikiti kwenye pdf.
Back
Top Bottom