Mungu yule ambae mnatuambia hapend mabaya misikitini na makanisani leo mnaatumia mwavuli huo huo kusuport mabaya kwasababu ya pesa na uchu wa madaraka mlitakiwa muwe Mfano nyie na yakitokea matokeo mabaya kutokana na mbegu mnayopanda mtaanza kutuambia tusali
Kaz kweli kweli
Dunia ya sasa imekuwa ya kibiashara inabid uuze kitu ili uweze kupata kipato
Swali ni kwamba una uza nini na je unauza kwa fair price
Nadhani sio sawa kumuuzia mtu muda wako na ujuzi maana no mater how hard u work they will never pay u enough and u wont grow financially nor socially
How are u...
Ndo nipo kazini hapa ...
Na hii ndo kazi tunatakiwa tuifanye kwanza maana bila kuziba matobo huwezi jaza maji kwenye pipa utazeeka unachotea maji tu na hawa wanamazingaimbwe wameshatoboa matobo
Walioshika Mpini wako tayar kusimamia chao kwa gharama yeyote maana hamna kitu kinatisha kama njaa
Swali ni moja tu sisi ambao tunataka mabadiliko je tupo tayari kumaanisha kusimamia tunachohitaji kwa ajili ya kesho yetu
Wa tz ni waoga na wasiothubutu kufanya kitu cha tofauti pamoja na kero...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.