Hii post motivational Ni ipi? Why mnapenda Kila mtu aongelee udaku au siasa na mpira? Post ni tofauti kabisa na video uliyokariri. Post inaelezea siri wanazotumia na sio namna ya kuwa tajiri. Mimi ni winga tu pale ambapo hata wewe ukikaa kariakoo au kuwa mnunuaji utazijua na kushare Sio mbaya
Anza tu biashara na nenda unakua. Siku zote circle Yako Ni wake mnaofanana sababu mnazungumza lugha moja. Ukiwa na 200M marafiki zako watakua wa aina hiyo
SIRI WANAZOTUMIA MATAJIRI WAKUBWA WA KARIAKOO KUENDELEA KUWA MATAJIRI NA KUTOSHIKIKA
Usipozijua utaendelea kuwashangaa
Ukitaka kujua Tanzania kuna matajiri, Nenda kariakoo. Hizi ni baadhi ya siri tu wanatumia kuendelea kukuza utajiri wao...
1. Group Buying ya Nguvu
wanaungana makundi na...
Mfanyabiashara wa Tanzania anayechukulia biashara yake kwa umakini anapaswa kuwa na mambo yafuatayo:
TIN Number (Taxpayer Identification Number) – Hii ni namba ya utambulisho wa mlipakodi kutoka TRA, inayomwezesha mfanyabiashara kulipa kodi rasmi.
Leseni ya Biashara – Hutolewa na halmashauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.