Recent content by Kibegi cha Simba

  1. K

    Hichi kitita kipya cha NHIF kina nini ndani yake? Kwanini kipigiwe debe na kupingwa vikali? Tujadiliane

    Naona sasa hivi taratibu ukweli unaanza kufahamika, jana NHIF wamerudisha dawa 178 ambazo walizitoa kwenye kitita kipya na bila ya aibu walikuwa wanashupaza shingo kuwa hawajapunguza isipokuwa dawa zote muhimu zipo kwenye kitita. Huu mfuko unaendeshwa kisanii na siasa sana, yaani bado wana ile...
  2. K

    Mambo gani hupaswi kumfanyia mtu ambaye hujamuoa?

    Papuchi ni basic need, siyo luxury 😋
  3. K

    Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

    Hivi na upande wa pili wanafungua nyuzi wa namna hiyo😀😀😀 Siamini kama wapo
  4. K

    Fitina na Uhuni behind draw za CAF, tukomae tu

    Hapo uliposema wanaolalamika ni mashabiki wa Simba kwenye hii draw ya leo au?
  5. K

    Mwanaume limbukeni

    Naona una dalili za kutafuta justification za usaliti kwa mume wako. Once msaliti always msaliti usitafute visingizio vya kuhalalisha kugawa kwa kila msela anayepita mbele yako.
  6. K

    Bima ya Afya NHIF ni Janga kwa wanachama wake

    Kwenye vitita vya bima hasa NHIF bei wanapanga wao na si watoa huduma au mnufaika kama wewe na mimi, sijui kwa nini umeshindwa hata kuuliza/kufuatilia kinachoendelea nchini kuwa NHIF wamefuta huduma na kushusha bei za hduma beyond uwezo wa watoa huduma kujiendesha na mtoa huduma kutakiwa kupokea...
  7. K

    Azam na dharau kwa TFF na Watanzania. Haya ni matusi

    ITV ya nchi gani? Unachekesha kweli wewe jamaa🤣
  8. K

    Wydad wanacheza ligi kwao leo usiku, sisi huku Bongo tunazipa muda wa kurelax Simba na Yanga

    Ila ukicheki hizi ligi za Africa almost hamna tofauti, angalia table za ligi hizo umezitaja👇
  9. K

    Lodge kali kwa bei rafiki jijini Dar es Salaam

    Maelezo hayatoshi mkuu, ipo wapi hii?
  10. K

    Lodge kali kwa bei rafiki jijini Dar es Salaam

    Mkuu naomba code za hizo toto za asia za chimbo lipi?
Back
Top Bottom