Recent content by kibebi

  1. K

    Je, ni sahihi kwangu kumuoa mwanamke huyu?

    Mkuu wakenya wanaharibu lugha yetu na wamefanikiwa kuwafanya watanzania wengi kufwatisha namna wanavyoongea. Hadi wanaume wa Tanzania bila haya wanaiga matamshi hayo Wenyewe wanaona ni ujanja..
  2. K

    Je, ni sahihi kwangu kumuoa mwanamke huyu?

    Mzee pole Sana Me ako na watoi wawili katika age ya ushangazi Huyo manzi ako ako na watoi wawili katika age ya 21. Mbona ako na haraka sana?
  3. K

    Je, ni sahihi kwangu kumuoa mwanamke huyu?

    Mwanaume kuandika "ako na" Inafikirisha sana
  4. K

    Hizi mvua zinazoendelea sasa utazifurahia kama unaishi kwenye mitaa ya kishua

    Siish ushuani Ila mtaa wangu una nafasi za kutosha na nyumba zina nafasi. Nikiamua navuta blanket nalala...
  5. K

    Unatunyima nini huko ulipo?

    Wasalimie Lindi na Ntwara. Huku tunawanyima mvua na baridi kwa wingi
  6. K

    TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

    Kuna kitu nilitaka kuandika ila nikakumbuka Marehemu hasemwi Pumzika kwa Amani X
  7. K

    Natafuta fremu ya biashara maeneo ya Mbezi Louis na jirani

    Ushauri wako pls Nini kingine kifanyike?
  8. K

    Natafuta fremu ya biashara maeneo ya Mbezi Louis na jirani

    Asante Sana Nitampa chochote kitu atakayenipatia password
  9. K

    Natafuta fremu ya biashara maeneo ya Mbezi Louis na jirani

    Kabla sijaenda kwa dalali nataka nipate maoni ya wapi nielekee... Nimekuwa muoga Sana nisije Zika mtaji. HeLa saa hivi ni ngumu
  10. K

    Natafuta fremu ya biashara maeneo ya Mbezi Louis na jirani

    Hello! Heri ya mwaka Mpya. Nilipata changamoto nikapotea kidogo Ila nimerudi (wakulungwa wanaelewa nimepotea wapi). Back to business. Ninaomba mnisaiaide kupata eneo zuri la biashara ya mahitaji ya nyumbani (unga, mchele, maharagwe, sukari, chumvi, diapers, mafuta na mahitaji mengine mengi ya...
  11. K

    Ninatafuta mwanaume mtu mzima single

    Ngoja niwa ignore
Back
Top Bottom