Recent content by KIBE

  1. K

    Lowassa atinga mkutanoni Halmashauri Kuu, Waimba tuna imani na Lowassa

    ni kweli... live kikwete yupo watu wanaimba tunaima na lowasa ukumbi mzima wajumbe wa lowasa...azam tv
  2. K

    Tuache ushabiki wa vyama: Nani bora kwetu, kati ya Lema na Monaban - Arusha Mjini

    Mi niwaambieni kitu....kama.mnaweza hebu tupeni ahadi za lema vs utekelezaji 2010-2015... mi naamini wana arusha mtakuwa.na nafasi.nzuri sana ya kujadili
  3. K

    Hivi ITV hawana watu waliobobea habari za kimataifa?

    ukawa hawakuwa na kikao mkutano.... Mana ndo habari za itv ,ukawa na maovu ya serikali..
  4. K

    Kwanini Mpendazoe hakupewa mafao Zitto apewe?

    kazi hamfanyi kazi mapenzi tu ..fanyeni kazi
  5. K

    Urais UKAWA, hesabu zinalalia CHADEMA

    Dr slaa anamvuto kwa wananchi kwa sasa?? Binafsi 2010 nilimpa kura lakini kwa sasa hapana... Kama kweli wamechemka sana sana .. Kura zitapungua sana
  6. K

    Rais Paul Kagame wa Rwanda, akagua gwaride la Jeshi la Tanzania (JWTZ)

    Hivi bongo zetu zinakuwa zimefunikwa na ukawa........ Kagame ni rais?? Hivi rais gani anapokelewa duniani bila gwaride?.miaka yote hii naona viongozi wakubwa wa nchi wanapokelewa kwa gwaride.. Kwa pk kupokelewa hivyo kitu cha kawaida sana ... Ben wakati mwingine ubongo wako usiufinye
  7. K

    Rais Paul Kagame wa Rwanda, akagua gwaride la Jeshi la Tanzania (JWTZ)

    Hivi bongo zetu zinakuwa zimefunikwa na ukawa........ Kagame ni rais?? Hivi rais gani anapokelewa duniani bila gwaride?.miaka yote hii naona viongozi wakubwa wa nchi wanapokelewa kwa gwaride.. Kwa pk kupokelewa hivyo kitu cha kawaida sana ... Ben wakati mwingine ubongo wako usiufinye
  8. K

    ITV Live: Lipumba anamshukia Kikwete ESCROW

    Huyu nae kadata tu..prof,asiye kuwa na faida mbwambwaja maneno tu
  9. K

    Vijana wa CHADEMA Geita watembea kwa mguu hadi Ikulu Dar es Salaam

    hawa wanapaswa kupokelewa ufipa na mbowe au ukawa.... Mana ni wafuasi wa chadema wanafadhiliwa na chadema .. Na huwa kuna gari usiku linawabeba sehemu moja kwenda nyingine..alafu wanakuja sema wanatembea kwa mguu nyambafu waongo ninyi... Wanapita njia gani au wanapita usiku?.. Mana wakija ibuka...
  10. K

    Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    mimi nilikuwa ccm lakini pumbafu zao hawa washenzi sana sana .. ela wamekula alafu wanaongea ushenzi tu bungeni..hawa wabunge wa ccn washenzi. tu.. madawa hakuna mahospital wao wanatete ushenzi
  11. K

    TANESCO yaamriwa kuzima umeme

    we umepata mgao nini? kichwa maji. unazani ofisi yako ya kizamani ndo zote zipo hivyo?. ofisi full dstv
  12. K

    TANESCO yaamriwa kuzima umeme

    we umepata mgao nini? kichwa maji. unazani ofisi yako ya kizamani ndo zote zipo hivyo?. ofisi full dstv
  13. K

    TANESCO yaamriwa kuzima umeme

    hakwamungu mungu atawapa ukichaa viongozi hawq washenzi. kweli tayari wamekata umeme kilwa nzima ..ili watu wasiangalie
  14. K

    Katibu Mkuu wa CCM, Kinana na timu yake wabisha hodi katika vijiji vya Jimbo la Nachingwea

    Kinyume cha ujumbe huu ni futa kabisa ndoto za ukawa na chadema yao... Utaweza wapi mbowe na vilaza wako kudelete ccm. Msahau kabisa ccm ya jenga nchi ccm ndio tegemeo la wanyonge wa nchi hii hongera kinana na Nape. Mbowe unapita angani na chopaaaa wenzako wanapita nchi kavu mtaa kwa mtaa...
  15. K

    Ombi kwa UKAWA

    Kwa mtazamo wangu kwenye kundi la ukawa hakuna kiongozi ambaye anakubalika na anamvuto kwa wananchi kuwa rais. Tafuteni mtu anae kubalika, ukweli mimi ni ccm ila kwa mapigo haya kuna jambo lazima watz tuwefanye. Angalia hapa bandari watu wamepiga pesa, tpdc wamepiga pesa,nida wamepiga...
Back
Top Bottom