Kubali kuingia mkataba na Azam media upate pesa ya kusajili wachezaji wanaoeleweka au Tumieni zile 20B kununua wachezaji wanaoeleweka kwenye dirisha dogo na sio kuzidiwa kete na Yanga kwa wachezaji kama Aucho na Djuma.
Acha ubahili,uza uchafu wa mabasi yote,nunua basi moja la maana na Coaster...
Golden dragon ni uchafu.Huwezi unda bodi kwa vipande vya mabati ya kuunga unga kama paa la nyumba ya kijijini.
Mabasi hayapendezi kuyaona,Simba sijui kwa nini wanajiletea vitu visivyo na mvuto
Si kweli kabisa.
Hata Kagere ana matatizo makubwa kuliko Mugalu.Usidhani ni rahisi kutengeneza nafasi tu na kufunga.Unahitaji wachezaji wenye fighting spirit,wanaojielewa.
Sisi hatujaumia kufungwa na yanga tu,ila tunaumia kuwa hatutafanya vzr kimataifa kwani wachezaji hawana kabisa fighting spirit.
Ni kama wako academy tu wakijiandaa kufuzu mafunzo.Wanacheza wame relax kama vile wao ni mastaa sana.
Nasubiri dhihaka nyingine baada ya kutolewa CAF championship.
Naiona Simba inakwenda kuwa kama Africa Lyon. Nimeanza kuingiwa na shaka na huyu mwekezaji. Tabia yake ya kuingilia uhuru wa wachezaji, ubahili, kutokujua jinsi ya kuimarisha brand ya Simba kiasi cha kununua mabasi ya kishamba matatu!
Nilikuwa nafuatilia mwalimu alimtaka Aucho,ila ubahili...
Hata kama angekuwa na wakala asingeenda kokote.
Kumbuka yanga inatengeneza wachezaji mashabiki wake.Kumbuka Ngasa jinsi alivyokataa ofa kisa abaki kuipigania timu yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.