Tatizo letu hoja ikiletwa hapa tunaweka ushabiki badala ya uhalisia wa hoja. Hao unaosema ushahidi unao wamesimamishwa na wanaendelea kulipwa mishahara yao kamili hadi leo wanyonge hawapati nafasi hii. Sitetei ujambazi na tetea utaratibu
Taarifa za uhakika zilizotoka kwa vyanzo ndani ya NSSf zinasema shirika hilo tangu mwezi Desemba mwaka 2015 limewatimua wafanyakazi kadhaa kwa makosa mbalimbali yakiwemo ya kutungwa. Hadi sasa zoezi hilo la kutimuatimua hovyo wafanyakazi bila kuzingatia sheria linaendelea.
Mtakumbuka mpaka...
Tatizo la vijana wa Ufipa akili zao zimeshikiliwa na Mwenyekiti wa kudumu wa chama. Hata mtoto wa darasa la nne anatambua wazi kuwa Mwenyekiti halali wa CUF kwa mujibu wa msajili wa vyama vya siasa ni Prof hadi hapo ofisi yake itakavyotambua vinginevyo
Kumekuwa na tabia ya kitesaji raia inayofanywa na walinzi wa Suma Jkt wanaolinda katika daraja la mwalimu Nyerere hususani kwa wageni wanaotumia daraja kwa kuwabambikia makosa kama vile kupiga picha au kupita sehemu iliyokatazwa bila kuwepo na alama yoyote ile ya katazo. RAIA wengi wamepigwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.