Enzi za analogia ndo ilikua free to all. At this time digital imeongeza garama za maisha.. Mtu ana TV Ila inabidi achek tu CD maana hela ya kifurush hana. Enzi zetu ukiwa na TV unachomeka tu antenna unakula channels for free.
Kama haukulipiwa kodi ndo kutakua na kesi ya kujibu. But kama umelipiwa kodi mwenye uelewa wa kutambua athar za mzigo ni officer wa TFDA au officer from chemical department. Hawa ndo wana authorize import ya chemicals na drugs. TRA ni maswala ya kodi na kuchek procedure zmefatwa
TRA huwa wanautaalamu kwenye maswala ya kodi. Hapa mamlaka ya chakula na dawa (TFDA) ndo wanautaalam zaid kuhusu hizo chemical. Kama walikagua mzigo na kuurusu officers wa TRA watakua safe kabisa
Sasa hapo watasema wamekukuta na bastola wapii? Maana umeishika na kuiacha polisi umo umo.. May b wangekushikisha mtaani.. But ndan ya kituo cha polisi naona haimake sense kabisa. Na pia polisi wanakushikisha kitu afu wasubiri kwa 4 years ndo waraise issue..? I think it is not possible.
Mkuu wa mkoa kafanya initiative kwenye swala hili ambalo ni tatizo kubwa.. Viongoz wengine wanatakiwa wamsupport.. Hii ni vita kitaifa but akiachiwa mkuu wa mkoa pekee na kuendelea kukosolewa kwa jitihada zake, ktakua hakuna mafanikio na vita hii itaishia hewan tuu..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.