Mkuu Pasco,
Hongera kwa andiko lako kuhusu kauli ya Prof. Dr. Kitila Mkumbo.
1. Hakika Kitila anadhani Upinzani imara utatoka ACT, Amekosea. ACT kwa sasa wanakosa pa kusimamia/kutokea (lack of Identity). Hawajui wawe wapinzani au waendelee kuichekelea CCM na kupokea ufadhili wao. Na ndio maana...
TAARIFA YA MWENYEKITI WA BAVICHA MKOA WA NJOMBE KWA VYOMBO VYA HABARI
Ndugu Waandishi wa Habari,
Katika kipindi cha wiki Miezi Miwili iliyopita wakatizoezi la Uandikishaji likiendelea katika Mkoa wa Njombe, kumekuwepo namfululizo wa vikao vya Chama Cha Mapinduzi Kujadili namna ya kujinusuru...
Jumla ya wajumbe: Bara 419+ Zanzibar 2010= 629.
Wajumbe waliopo Bungeni: Bara 295+ Zanzibar 142= 437.
2/3 kwa Zanizbar ipo na wamezidi wajumbe 2, 2/3 kwa Bara ipo na imezidi wajumbe 15.
Je hoja kuwa kuna uhaba wa wajumbe wa Zanzibar na hivyo hakuna 2/3 imekuaje.
Naona kuna...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kimeongeza muda wa kuomba nafasi ya kugombea Uongozi wa Kitaifa hadi tar 30/08/2014 saa kumi alasiri.
Taarifa za awali za Chama ni kuwa mwisho wa kurudisha fomu ilikuwa tarehe 25/08/2014.
Muda huo umeongezwa kutokana na maombi mengi ya wanachama mikoani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.