tumeshazoea kauli za kikwete, kama angekuwa ameuwawa mwislam ungeona hatua zingechukuliwa haraka sana, msimamo ni ule ule, hakuna kununua nyama kwenye mabucha ya Waislam, kila watu wa nunue nyama kulingana na itikadi zao za dini.
Jamani Hamuoni hizo ni Hila Za zitto Mwenyewe ameanza kuandaa mazingira ? maaana anahamu sana na Urais, mimi nafikiri muda wake Bado anahitaji kuendelea kujifunza na kukaa chini ya Wazee wenye Hekima na wakomavu wa Siasa, na akitaka kujimaliza sasa ajaribu kwenda Huko.
Uchawi sio Lazima uende Porini ukate miti na kuvaa kaniki jeusi na kutamka maneno yasio eleweka, Lazima Mtoa Mada atambue Kuwa nafasi ya Mbunge ni kuwashawishi watu mbalimbali ili waweze kutoa misaada ya kuweza kusaidia Jimbo lake, Acha uchawi wa maneno ya kisiasa, mimi naona una agenda nyingine...
Mali alizonazo ndio ushahidi Tosha atueleze kapata wapi? na vielelezo atuletee.mimi nafikiri ushahidi ukikamilika wampeleke Mahakamani ili iwe fundisho kwa wengine vinginevyo hakutakuwa na Tofauti na Mafisadi wa ccm
Hakuna Haja ya kutafuta Vielelezo, mali alizonazo zinztosha kuwa Vielelezo, tunamjua hapa Mtaani, alikuwa hata hata baskeli leo mali anazomiliki katoa Wapi? kama Sio kuuza hivyo Viwanja? Chadema acheni mambo ya ccm Wakati ushahidi upo tume ya nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.