Recent content by Kibafuta

  1. K

    Elections 2010 Khanga, Tshirt za CCM zakwama bandarini

    Mzigo utakuwa umetoka siku nyingi wewe unafikiri Mkurugenzi TRA anaubavu wa kukatalia mali ya CCM kwasababu haijalipiwa kodi kwani unafikiri hataki kubaki kuendelea na wadhifa wake wa kuwa MKurugenzi MKuu TRA, hiyo kamwe hawezi hata iweje mzigo uko nje na wananchi wameshagawiwa siku nyingi tuu...
  2. K

    CCM yamwangukia Bashe!

    Hamna lolote walishapanga kumkandamiza Bashe siku zote hizo hawakujua kuwa Bashe hakuwa na URAIA mpaka ashinde kura za maoni..? Hii yote inatokana na MAJUNGU na VISASI vya Ridhwan, Ridhwan na Bashe walipisha maneno sasa Ridhwan kushirikiana na SAWAHIBA wake wakaa mua kumuandalia ZENGWE la...
  3. K

    Elections 2010 Matusi au 'tuhuma' katika kampeni?

    C C M ni wapika MAJUNGU Dr Slaa alipowataja MAFISADI wengi walisema watamshitaki kwani kuna hata mmoja alijitokeza baadae wale wote waliomtishia kumshataki sasa kesi zao zinaunguruma Mahakama ya Mkazi Kisutu Tido hana lolote nae ni mmoja wao tuu CHADEMA walikuwa wanawajulisha UMMA CCM...
  4. K

    CCM yamwangukia Bashe!

    Mimi nilijua tuu wanamwonea Bashe wa watu hiyo yote inatokana na SIASA za UADUI na VISASI. CCM ni Chama ambacho kinanedeshwa kwa ubabe tuu na wale wote ambao walihuisika na hiyo issue ya URAIA wa Bashe siku yao nayo inakuja watakiona cha mtema kuni Ridhwan J Kikwete mimi naomba nimpe USHAURI...
  5. K

    Elections 2010 John Komba

    Kaptn John Kombe maji yameshamfika shingoni hana pa kupulia na kwa kufanya hivyo ndio anazidi kujipaalia makaa bure akubali yaishe. Yeye sindie anaisimamia Bendi ya CCM hicho cheo hakimtoshi..?? Ameshakula vya kutosha 2005- 2010 awaache na wengine wafaidi Mafao ya kuwa Wabunge kama miaka yote...
  6. K

    TANZIA Wakili mtetezi wa ICTR Prof. Jwani Mwaikusa auawa Tanzania

    Poleni wafiwa na Mola yupa nanyi katika hiki kipindi kigumu cha maombolezo. R.I.P Prof na Mtoto Wake
Back
Top Bottom