Kiukweli tatizo la kuwashwa mwili pamoja na sehemu sehemu za siri kwa sasa limekuwa linatesa watu wengi sana, kwa mfano wengine inafikia ngozi kukakamaa kama kenge kwenye uume na korodani. Msaada wenu wadau hapa inatakiwa kutumia dawa ipi?
Kiongozi watu wanamadai ya msingi hasa upande wa taaruma za Viongozi hasa baada ya vuguvugu la vyeti feki ambapo limepelekea baadhi ya watumishi kufutwa kazi na huku wengine wakifungwa gerezani lakini wengine wanatetewa na mpaka kufikia jana umeona wamekamilisha utetezi kwa Viongozi wenye vyeti...
Tatizo ni kwamba uongozi tulionao sasa unaongoza kwa chuki, wanawachukia sana waliofanikiwa kimaisha kabla, kama mnakumbuka bwanamkubwa aliwahi kusema anataka matajiri waishi kama mashetani akiwa na maana kwamba waishi kama masikini na kitu ambacho hakiwezekani mtu katafuta hela miaka mingi...
Huyu naibu spika ninadhani toka uteuzi wake kulikuwa na uhuni na ndio maana ilipelekea Bungeni kukawa na mzozo na sasa ndio kuonesha uwezo wake mdogo wa kuongoza kundi lililo na wasomi ndani yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.