Recent content by kiaratu38

  1. kiaratu38

    JamiiForums Tanzania Upakiaji abiria ulipitiliza wa basi la mumuk, arusha - bukoba - karagwe leo jumamosi - 27 Aug 2022

    Mimi nafikili ili tatizo ni lipo kwa abilia mwenyew inakuwaje unaona kabisa basi limejaa na unakubali kupanda serikali inatakiwa pia kuchukua hatua kwa abilia anaepanda gari likiwa limejaa iyo itayokomeza ujaaji wa magari hovyo
  2. kiaratu38

    JamiiForums Tanzania Bus gan nzuri la kutoka iringa kwenda mwanza.

    Safiri na kaplicon luxury [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. kiaratu38

    JamiiForums Tanzania Bus gan nzuri la kutoka iringa kwenda mwanza.

    Ipo kapricon
  4. kiaratu38

    JamiiForums Tanzania Kwanini Vijana wa Tanzania hawajitumi kwenye maisha tofauti na Vijana wa Nigeria na Kenya?

    Tanzania tunategemea elimu ya kuajiliwa sio elimu ya kujiajili wenyew
  5. kiaratu38

    JamiiForums Tanzania Trafiki wapukutishwa barabarani, Vilio vyatawala

    Askali wanazuia vipi ajali za barabarani wakati muda wote anawaza hela tyu
  6. kiaratu38

    JamiiForums Tanzania Tamka neno lolote la faraja kwa walimu

    Tujitahidi kuwekeza
  7. kiaratu38

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

    Kwasababu wanatukopa sna
  8. kiaratu38

    JamiiForums Tanzania Kuwasifia Nandy & Billnas kupeana mimba nje ya ndoa ni ukosefu wa maadili

    Tunachokisifia ni billnass kuonesha ulijali wake
  9. kiaratu38

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyeolewa kunywa pombe ni sawa?

    Kunywa pombe sio tatizo, tatizo ni muda na mtu anaekunywa nae pombe
  10. kiaratu38

    JamiiForums Tanzania Wanawake mitandaoni mnalalamika hamuolewi wakati huku kitaa mnatuambia 'mimi nina mtu wangu'

    Wataolewa na nani wakati ukimsalimia tyu yeye anawaza kukuomba vocha ata salamu ataki
  11. kiaratu38

    JamiiForums Tanzania Askari wa Bahi punguzeni usumbufu

    Kuna wilaya ya Bahi askari wanakera sana wa usalama barabarani, hii inatokana na kusimamisha magari muda mrefu pasipo kujali muda wa mtu.
  12. kiaratu38

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

    Tatzo wanatukopa sana
Back
Top Bottom