Recent content by Kiangazikikavu

  1. Kiangazikikavu

    Asili ya majina ya maeneo mkoani Manyara

    Ulivyowasilisha hii mada bila shaka wewe ni mmbulu [emoji817] sasa utusaidie tujue asili ya hayo majina ya huko kwenu.
  2. Kiangazikikavu

    Tukiachana na wachaga, Kuna kabila lingine lina utamaduni wa kurudi na kujumuika kwenye vijiji vya mizizi yao nje ya misiba?

    Kama sio ujuha n nn, Kahe sio kwa wachaga hata kidogo, wapo Wakahe wenyewe, Wakamba na Wataita kutokea chocho la kitobo na wahamiaji wengine kuchunga na kulima mpunga
  3. Kiangazikikavu

    Tukiachana na wachaga, Kuna kabila lingine lina utamaduni wa kurudi na kujumuika kwenye vijiji vya mizizi yao nje ya misiba?

    [emoji120][emoji120][emoji120] jamaa ana donge kuliko kutoa facts za wachaga walivyo
  4. Kiangazikikavu

    Tukiachana na wachaga, Kuna kabila lingine lina utamaduni wa kurudi na kujumuika kwenye vijiji vya mizizi yao nje ya misiba?

    Pumbaaa na povu kama lote na chuki binafsi zimekujaa juu ya wachaga, hayo matambiko ya kichawi uliyaona? Au ndoto zako za mchana, tafuta hela acha porojo.
  5. Kiangazikikavu

    Arusha inaongoza kuwa na vijana wa ovyo

    Duh! Kwa hilo povu, inaonesha akili yako ni ya kushikiwa kama si kuazima, huijui Arusha hata vijana wake huwajui!
  6. Kiangazikikavu

    Naomba kujuzwa gharama za kupanda Mlima Kilimanjaro

    Sawa, kabla ya kujua gharama pia ni muhimu kujua njia/route ipi utatumia kupanda mlima (kuna Coca-Cola route or and whiskey route)
  7. Kiangazikikavu

    Usiyoyajua kuhusu kupotea kwa 'Submarine' ya Titan

    Huna jipya, endelea kufuatilia BBC na Aljazeera
  8. Kiangazikikavu

    Mkoa gani hautamani kuishi hapa Tanzania?

    Arusha kuna violence zp hizo! Wivu tu huo, jiji la kitalii hata km hupendi
  9. Kiangazikikavu

    Mkoa gani hautamani kuishi hapa Tanzania?

    [emoji848][emoji848] kama kwenu huko gamboshi na kwingineko kunakofanana na huko KLM utakaaje!
  10. Kiangazikikavu

    Hizi plate namba za 3d zilizotrend sana wanatengenezea vitu gani

    Kwanza unatakiwa ujue 3D ni nini, kwenye material yalitumika sio issue.
  11. Kiangazikikavu

    Wachaga tupe siri na sisi wengine

    Wivu wako na chuki binafsi dhidi ya akina Mangi, kibwengo kama ww toka lini akawa na mawazo chanya!
  12. Kiangazikikavu

    Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi

    Acha ushabiki maandalizi, au umekula kiporo cha kachumbari? Shusha takwimu sio unabwabwaja.
  13. Kiangazikikavu

    Ukiitoa Kilimanjaro Bado Mikoa mingine Tanzania ni maskini

    Ni nani bora, sie tunaekwenda kwetu Disemba tu au nyie msiejua hata kutafuta kwenu ni wapi!
  14. Kiangazikikavu

    Ukiitoa Kilimanjaro Bado Mikoa mingine Tanzania ni maskini

    Shusha net ulale, unabishana na takwimu, au kiporo cha juzi ndo kimekulevya? KLM is in next level, kubali au kataa lakini ndo hivyo.
Back
Top Bottom