tetesi yako c ya kweli dawa za malaria zilikuwa store pamoja dawa mbalimbali za binadamu na zote zimeungua na hii kampun inaitwa phillips pharmaceuticals t ltd na sio msd 5 fanya utatifiti kabla haujapost, me ni mfanyakazi wa hiyo company iliyoungua
wee unaonekana ni mnyarwanda kama kagema, hata kama serikali na in udhaifu wake lakini kusema hayo, kwani mtu kukwambia upatane na jamaa yako kuna tatizo gani?
Ni jambo la kumshukuru kuwa umerudi salama, ipo cku ukweli utajulikana hata kama wewe hautasema,wapo watakaosema kwa niaba yako, amin mungu yupo upande wako naye atakutetea tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.