Recent content by Kheri Hansen

  1. Kheri Hansen

    Sakata la TZS 1.5 Trilioni: Serikali yakiri haikupeleka Zanzibar TZS 204 Bilioni

    Magufuli ni msukuma mwenzio? pia ni kawaida UVCCM kutukana wakiishiwa hoja.
  2. Kheri Hansen

    Bestman alimtafuna mke wangu siku moja kabla ya ndoa

    utakuwa hujawahi kuliwa mkeo., au bado dogo
  3. Kheri Hansen

    Bestman alimtafuna mke wangu siku moja kabla ya ndoa

    mke kuliwa chochote sio tatizo...hapa ni kumuadabisha aliyemla...mwanamke hana hata haja ya kuchapwa kofi...jamaa akikausha yy ndo atadhoofu kisaikolojia na wengi huishia kujinyonga....amuadabishe jamaa sawasawa na nilivyochambua hapo juu. itakuwa funzo kwa mke pia
  4. Kheri Hansen

    Najilaumu sana kudandia lift kwa jamaa yangu. Nimegharamika zaidi na jamaa kila kituo anatia nanga na kunywa pombe!

    hapo kwny "haongei na mtu"...km vile namuona jamaa alivyokuwa amekodoa macho kodo ili aone barabara vizuri. kutoongea na mtu kwa mlevi ni mbinu ya kujaribu kuwa focused.
  5. Kheri Hansen

    Bestman alimtafuna mke wangu siku moja kabla ya ndoa

    Mkuu achana na upuuzi wa kuambiwa SAMEHE..biblia yenyewe imeandika USICHUKUE MKE WA MTU, sio mme wa mtu. Kwahiyo muite jamaa ukiwa na washkaji zako wawili eneo ambalo hawezi kujitutumua, tena ukiweza mpange na huyo waiter awepo na mkeo awepo...wote hawa wasijue umewaitia nn...halafu muonyeshe...
  6. Kheri Hansen

    Nataka kuoa baada ya Ramadhan

    Oa mda huu wa ramadhan, watu hawatakula maana wamefunga so utasave bajeti ya chakula. kuwa mjanja...tembelea matukio
  7. Kheri Hansen

    Rais wa TFF autaka uongozi wa Yanga kutengua uamuzi wa kujitoa Kagame Cup ndani ya saa 48 zijazo

    kwan lazima kucheza? kama mnawabeba simba kwann tusijitoe
  8. Kheri Hansen

    Sakata la TZS 1.5 Trilioni: Serikali yakiri haikupeleka Zanzibar TZS 204 Bilioni

    Magufuli hadi namuonea huruma...huwezi kuiba robo ya hazina halafu tukuangalie tuuu...hii 1.5tillioni atainya yote kabla hata muhula wake haujaisha. Shubaamit.
  9. Kheri Hansen

    Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

    MSIMPE SIFA ZOTE YEYE...yeye ni mwanzilishi tu wa hiyo brand ya kipanya, lkn kuna ofc kabisa vijana wameajiriwa...ndo huwa wana brainstorm na kuchora, tena katuni nyingi then zinapigiwa kura kwenye group lao la whatsapp, masoud anaidhinisha. hana akili zozote kukuzidi ww mtoa mda.
  10. Kheri Hansen

    Unawakumbuka viongozi na Watendaji waliotolewa kafara ili kuiokoa serikali ?

    mm pia walitaka kunitoa mhanaga, bashite mdogo na bashite mkubwa wa jumba jeupe...nilichomoka hadi leo nadunda na yesu
  11. Kheri Hansen

    Ivanka Trump ni kisu!

    kapua kadogogo km ka baba yake
  12. Kheri Hansen

    Serikali: Waraka ulioandikwa kwenda Kanisa la Kilutheri (KKKT) ni batili; Msajili wa vyama Wizarani asimamishwa kazi

    Mbona Polepole alisema haoni tatizo kwenye huo Waraka? sasa aliyeuzusha ni nani?? Serikali ya awamu hii inaendeshwa kwa divai iliyochacha...ni sawa na uende Bar ukilewa unatukana kila mtu, kesho ni kazi ya kuomba msamaha tu na kukana.
  13. Kheri Hansen

    KKKT wajibu Barua ya Serikali: Waomba kuongezewa siku 30 ili mkutano wa Maaskofu ufanyike na utoe majibu

    Barua imeanza kwa kumkosoa msajili kwamba alielekeza barua kwenye ofisi ambayo sio, ilipaswa iandikwe kwa katibu wa KKKT, hii inamaanisha msajili aliandika barua akiwa ana hangover za mamlaka ya usajili.
Back
Top Bottom