Recent content by KHERI AMANI

  1. KHERI AMANI

    Kero: Mahari sasa yageuzwa chanzo cha kipato

    Ila nadhani hiyo familia ya binti shule imewapitia kushoto,wasomi hawawezi kufanya mambo ya kipuuzi hivyo.
  2. KHERI AMANI

    Kero: Mahari sasa yageuzwa chanzo cha kipato

    Hahahahahaha! Mimi walifanya hivyo nikawalipa mahari yote then nikawaambia sina mpango wa kumuoa,ila nitamuhudumia mtoto wangu,now imepita miezi 9 tangu ajifungue natoa huduma kwa mtoto kama kawaida,ilibidi mama mkwe aombe radhi kwa waliyoyatenda,nimewajibu nimeshawasamehe ila siwezi kumuoa...
  3. KHERI AMANI

    Kusoma IT ukiwa umefeli Fizikia

    Hesabu ndo inahitajika,kama umefeli hesabu achana na hiyo kozi.
  4. KHERI AMANI

    Msaada: Je mtu mwenye maksi hizi anaweza kwenda Advance?

    C,C,C,C ni three ya point 24,hiyo four inakujaje?
  5. KHERI AMANI

    Seeking woman for marriage

    Karibu sana
  6. KHERI AMANI

    Seeking woman for marriage

    Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu Nina umri wa miaka 30 Dini muislamu Muajiriwa serikalini! Nina mtoto 1 Makazi mbeya Sifa za mwanamke ninaye muhitaji Umri miaka 23-32 Awe muislamu Elimu kuanzia form six kuendelea. Rangi yoyote ile Kama ni single mother basi uwe na mtoto mmoja tu. Kama hauna...
Back
Top Bottom