Recent content by khavicha

  1. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Watumishi zaidi 80 Shule ya Sekondari Meta hawajapokea mishahara na marurupu yao

    Tunamalizia kampeini tukutane baada ya uchaguzi.Asante.
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kabudi: Samia ametimiza aliyoshindwa Mwalimu Nyerere

    Hawa ndo watupeleke nchi ya ahadi? Bado safari ni ndefu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Mahakama ilivyojinajisi hivi sasa mifupa ya kina Jaji Mwalusanya, Lugakingira na Kisanga itakuwa inacheza huko kaburini.

    Mahakama za Tanzania ni matawi ya CCM kama uvccm,uwt ,jumuiya ya wazazi.Mahakama zipo Kenya.
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Tunamshikilia Leonard Josephat Magere wa CHADEMA kwa tuhuma za jinai zinazomkabili

    Kuna tofauti gani kati ya jeshi la kikoloni na hili la sasa,ni dhahiri jeshi la kikoloni lilikuwa bora kuliko hili la Tanganyika huru.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wadau wajuvi wa sheria hivi polis wa Tanzania wana operate kwa kutumia sheria zipi zinazobagua yupi akamatwe na kupewa mashitaka?

    Ccm kwa sasa ni kama wazayuni ,polisi wanatumiwa tu kwa manufaa ya wafalme wenye nchi. Bora mkoloni kuliko utawala wa ccm.
  6. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Arumeru-ARUSHA Umeme mbona tuko gizani, wapi umeme?

    We unaleta uchochezi ndani ya miaka ya mama kuna viwanda 38000 ,mikumi tena.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuwe makini na No Reforms No Election

    Mageuzi yoyote ya ulimwengu katika historia hayakuja kirahisi kama Tanzania tunavyodhani sijui meridians,kamati za amani,harambee na kuombewa na viongozi wa kidini.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Billionea Sonko mbioni kuhamishia Biashara zake Tanzania, asema Rais Samia amedumisha Amani tofauti na Kenya wanakouana kila siku!

    Muuza unga na cartel zake anakuja kuwekeza Tanzania.
  9. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Jaji Mwanga ajitoe katika kusikiliza kesi yetu, CHADEMA hatuna imani naye

    Huwezi kupata haki katika mifumo ya kicommunist kama TANZANIA, majaji wote wanatoa rulling kulingana na matakwa ya chama tawala.
  10. K

    JamiiForums Tanzania WanaCCM hebu semeni mnapingana na CHADEMA kwa kitu gani haswa?

    Ccm ni chama cha mazayuni lakini wema wapo hawana sauti wanahofia kula yao na familia zao.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Gwajima, Wafuasi wa Ufufuo wa Uzima Msiwe na Wasiwasi, Hoja za Kulifungia Hazina Locus Stand, Serikali inapigwa Certiorari na Mandamus, linafunguliwa!

    Rostam aliwahi kusema ,mahakama za Tanzania remote ipo lumumba ,independence of judiciary is questionable in this communist government.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: PICHA: Huyu Kumrithi Dkt Emmanuel Nchimbi Ukatibu Mkuu wakati wowote

    Mikakati ya kuiba kura hamna lingine hapo
  13. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuzo za Samia Kalamu zinafanya kazi, hakuna gazeti lililothubutu kuweka habari ya Askofu Gwajima

    Hatuna magazeti zaidi ya kusifu wakoloni weusi ,huku wakitegemea fadhila za kuishi ,tupo dark ages karne ya 16.
Back
Top Bottom