Recent content by khanjibai

  1. K

    JamiiForums Tanzania Walimu wote kupangiwa vijijini

    WADAU MIMI MDAKATOGE NIKO KITAA MUDA MREFU SANA. AJIRA ZA WALIMU NI LINI?:eyebrows::eyebrows::eyebrows:
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kazi

    Nawapenda ndugu zangu vijana wa tanzania wenzangu,nafanya kaz kwenye kampuni fulani in services department na tunahitaji vijana wawili as mechanical technicians with little experience but ready to learn new things and self driven,We prefer guys from veta or FTC colledges.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kazi

    Dah! Mwana unatema pumba mbaya! Hujui kama kuna vijana wako na kaz nzuri full kiyoyozi na magari yao na ya kaz pia,tupo humu na ikitokea kijana mwenzetu anatemba pumba tunahisi anakon'golwa mabuti na wajanja.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Tanzania kama Mama Masumbuka wa kwenye Sarafina kule S. Africa.....Ukombozi uko karibu

    walimu bongo ni waoga na wanamtazamo potofu kuwa haki zao ni ngumu kupatikana na wakidai watafukuzwa na kwenda jera,achen woga walimu pesa zenu zimefichwa uswis
Back
Top Bottom