Recent content by khalulu

  1. khalulu

    PreGE2025 Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali kuwaachia Viongozi wa CHADEMA

    Kuna harufu naihisi. Agizo la kukamata linaonekana kutolewa kimya kimya mafichoni ila agizo la kuachiliwa latolewa hadharani.
  2. khalulu

    Neno la ubaya ubwela halina baraka

    Hahahaha, watajitetea kuwa vipindi hivyo ilikuwa mwiko nyuma!😂
  3. khalulu

    Kuna watu ndani ya CCM wanatumika na Upinzani, wana nia ovu kwa Rais. Huu mtego tumeugundua

    😂😂😂 kweli aisee, isije tokea kama ya biden kuahirisha kugombea.
  4. khalulu

    Mtu unatakiwa uwe na chupi ngapi?

    Inategemeana sasa, mtu gani, Mke au mume?
  5. khalulu

    Je, unakumbuka nini kuhusu migomo shule za sekondari?

    Chuo kikuu wapo busy wanabet
  6. khalulu

    Je, unakumbuka nini kuhusu migomo shule za sekondari?

    Waliokuwa wanagoma 90s ndiyo wazazi wa leo, hao hao ndo walimu wa leo. Wanajua mbinu zote na wanadhibiti. Pia wanaosoma siku hizi ni wadogo kwa umri, wanashindwa kuwazidi uwezo hawa wagomi wa 90s.
Back
Top Bottom