Yes, TCRA has already provide Masafa for the Technology and it's now Operates and Cover some Few places here in Dar es salaam, soon will cover all over Dar es salaam. What a Great News!!:majani7:
Mkuu haya ni Mabadiliko yaukweli, unaweza ukajaribu 4G LTE Buree tu, Pitia hapa kupata maelezo zaidi
https://www.facebook.com/pages/Smile-Communications-Tanzania/353605838068329?ref=ts&fref=ts
Smile Telecoms Holdings Ltd - Home
Inkoskaz embu bofya hii link upate maelezo zaidi
Smile Telecoms Holdings Ltd - Home
au Like Facebook page ifuatayo uwe unapata Updates zaidi
https://www.facebook.com/pages/Smile-Communications-Tanzania/353605838068329?ref=ts&fref=ts
Kweli kabisa kwa sasa hivi Smile.. coverage yake ni kama ulivyo orodhesha hapo juu, lakini mpaka kufikia Mwezi wa Tatu.. Coverage itakua Dar es Salaam Nzima
While Some European Countries are Still Waiting, 4G LTE Mobile Broadband (state of the art) Now Available In Tanzania. Say Bye Bye to Old 3G Mobile Broadband
chief-Mkwawa, Sasa hivi kuna Ofa maalumu kwa Msimu wa Sikukuu, kwa maelezo zaidi kuhusu huduma za Bundles, Tembelea Facebook page ifuatayo.
https://www.facebook.com/pages/Smile-Communications-Tanzania/353605838068329?ref=ts&fref=ts
Chief-Mkwawa nimekupata, hapa ilikua vigumu hata kwangu kuamini kama Tanzania tuna 4G, Mpaka nilipoanza mwenewe kutumia, experience is so Amazing, Downloading and Uploading is totally different, i can do online HD Movies without Buffering. Bandwidth up to 10Mbps
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.