Recent content by khalid Dijk

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada utaratibu wa kurudia kusahihishiwa upya mtihani kidato cha sita

    Mm nimemaliza mwaka 2017 na matokeo yangu yalikuwa CEF na ninapiga degree yangu safi tu hapa Mwalimu Nyerere
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ahsante Mungu foundation course nimepasua tukutane UDSM

    Mbona munapenda uzushi wa kijinga ukweli ni kwamba unaweza kuomba chuo chochote hapa Tanzania kama utakuwa umesoma foundation course na ukafaulu vizuri pale open. Musiwe munatoa majibu ambapo kitu hukijui
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwa aliyepta daraja la tatu kwa alama ya 13 hstry E, geo E na kiswhil C vip anawez kupta chuo kikuu

    Tatizo litakuja kwenye fuculty gani unayotaka kuisoma maana zipo fuculty yengine ni mpaka uwe na prinsiple pass tatu hususan kwenye course za afya
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwa aliyepta daraja la tatu kwa alama ya 13 hstry E, geo E na kiswhil C vip anawez kupta chuo kikuu

    Unasoma degree hapo wala usiwe na wasi wasi madhali umefikia point 4 yenye prinspal pass mbili
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna somo EDK 2 Kwenye Ratiba kidato cha nne 2019.

    Hilo somo lilinipeleka form 6 ujuwe
Back
Top Bottom