Hakuna somo EDK 2 Kwenye Ratiba kidato cha nne 2019.

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Wadau wa NECTA toeni ufafanuzi
Nimepata taharifa kutoka kwa mwanafunzi 1 ratiba mpya ya necta kidato cha4 2019,hawajaweka somo la elimu ya dini ya kiislamu pepa na2.
Hii ni utaratibu mpya au? Km mpya mbona hawatoa taharifa kwa watahiniwa?
 
Hili somo huwa halihesabiki kwenye point. achana nalo
 
Wadau wa NECTA toeni ufafanuzi
Nimepata taharifa kutoka kwa mwanafunzi 1 ratiba mpya ya necta kidato cha4 2019,hawajaweka somo la elimu ya dini ya kiislamu pepa na2.
Hii ni utaratibu mpya au? Km mpya mbona hawatoa taharifa kwa watahiniwa?
Halafu necta sidhani kama wapo jf,nenda bamaga watakupa jibu.
 
Wadau wa NECTA toeni ufafanuzi
Nimepata taharifa kutoka kwa mwanafunzi 1 ratiba mpya ya necta kidato cha4 2019,hawajaweka somo la elimu ya dini ya kiislamu pepa na2.
Hii ni utaratibu mpya au? Km mpya mbona hawatoa taharifa kwa watahiniwa?
Tembelea www.necta.go.tz utabada mawasiliano na ufafanuzi wote. ( Hearsay evidence is not admissible in court in Court.)
 
Back
Top Bottom